Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShangaaKwani walioana lini ?
[emoji184] alikuwa na mabawa toka zamaniUmemsikiliza Zari alichosema?
Diamond mwanaume amepata mabawa na kusahau alipotoka karuka majivu ameenda kukanyaga moto.
Diamond wetu hata haongelei si tushamsikia inatosha Mobeto anatosha
Ni watz Hakuna shidaNa Wema na Mia
Kwani walioana lini ?
Mapenzi mabayaa
Sawa Nabii Tito.Niliwahi kuota Diamond kamuoa Mabeto nikaleta uzi humu,nadhani muda utasema tu.
Mapenzi mazuri wewe..usipotoshe banaMapenzi mabayaa
Wabongo nouma sana, una mbishia mpaka anaevuliwa pichu. ?[emoji38] [emoji38]Rayvanny alikuwa BBC, Zari naye BBC hapo hapo kuna tukio la uzinduzi wa album ya Diamond. Bado naamini hizi ni kiki tu na sidhani kama kuna kuachana.
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
Yeah anayetoa mtoso ndie anayetamba saafi kabisa. Haters wameumia kuona zari ndie katosa na sio kutoswa.
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!