BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Hehehehehe diamond huwa hasemi anaacha utaona vitendo tu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] ila kama kuna watu walidhani Diamond atamuoa Zarina[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] they need prayers kwa kweli!

Hata ningekua Mimi sithubutu mwanangu aoe mwanamke ambae nude yake ipo mtandaoni!
 
Hehehehe diamond aoe Mobeto banaa
 
Na Siku diamond Akisema insta itetemekaa, we alivyosemaga tu Ndio kwanza Nna miaka 28 nikajua Hapa Hakuna kitu, Nasikia Hamisa kitandani ni balaaaa
Ila Hamisa ana shape hala kama modo,sijui watu wanampendea nini wema Tanzania hii.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] ila kama kuna watu walidhani Diamond atamuoa Zarina[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] they need prayers kwa kweli!

Hata ningekua Mimi sithubutu mwanangu aoe mwanamke ambae nude yake ipo mtandaoni!
Nude kitu gani bhana mbona Kim Kardashian kaolewa tena na super star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…