BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Kwani ni lini Diamond aliwahi kuwa na mahusiano na Zari..?
Zari alikua mali ya Kusaga,Diamond alikua anatumiwa tu...
Watoto wote wale(Nillan na Tiffah) sio wa Diamond ni wa Kusaga..!




Ahahaaaah..!!!
Wabongo hatari sana..!
Hahahahahhaaaaa aiseeee wabongo ni noma
 

Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe alikuwa akitarajia ujumbe mzito wa kutengana alioutoa kwenye ukurasa wake wa Instagram.
 
Mie kwa maoni yangu hata kama hujabahatika mapenzi ni matamu sana hata wale ambao hawajabahatika na baadhi kujiapiza sitaki kupenda tena bado hurudi tena ndani ya mapenzi.


Sana...labda ubahatike
 
Mie kwa maoni yangu hata kama hujabahatika mapenzi ni matamu sana hata wale ambao hawajabahatika na baadhi kujiapiza sitaki kupenda tena bado hurudi tena ndani ya mapenzi.

love quoted as the world inspiration..................BBC make the discussion abt love that's means no one is above the love formula..................zunguka utarud
 
Mtu yeyote anayejielewa hawezi kulazimisha mambo hasa kama haya ambayo ni ya hiyari sana. Nampongeza sana huyu dada Kwa kujitambua na anajua anachokifanya maishani mwake japokuwa nasikitika amempatia moyo wake kijana! Mara nyingi sana mimi binafsi huwa siamini sana vijana japo hata mimi ni kijana! Pia hatuyatendei haki mahusiano Kwa ujumla hivyo maumivu kama haya tuyatazamie sana!
 
Duh mwanamke yuko vizuri kimaisha yaani watoto kasema hata baba asipotake CARE yy atatacare
 
Wana Kiki Za Kingese sana hao WCB,hawawezi kufanya jambo lao bila kupitia kiki.
 
Huyu mwanamke hopeless kabisa,na hii inathibitisha kuwa yeye ndiye aliyeachwa,hii haina tofauti kati ya mahusiano ya gardner na lady j d,maana jide alipoachwa alipiga kelele dunia nzima ikajua
 
Angejielewa angeenda kuzini na kiben 10 domo na kupachikwa mimba mfululizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…