BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

We will create a government that respects first and foremost humanity, human dignity; a govt that protects its citizens. (...) We will do precisely the opposite of what President Magufuli has done for the past five years-Tundu Lissu
These are unfulfilled plans, This is another Mrema in our country

Poleni BBC Kwa kuendelea kupoteza muda wenu
 
The BBC is filling him with ignorance
 
Bipolar disorder at his best.
 
Bila Shaka, lissu atakua rais anayeungwa mkono dunia nzima sababu ya kuijua sheria vizuri. Tayari huko duniani wameshampitisha bado sisi sasa.
Wakampe ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa
 
"'Sympathy'ya waTanzania?"
For what?

Naona unawavunjia heshima waTanzania mkuu kuwarahisisha kiasi hiki!
Wewe na mimi pia watanzania, kama mwenzetu unaelewa mitazamo yake ya maendeleo ya kiuchumi embu tuelezee ana mipango gani.

Uweke na reference na sisi tukasilikize sio utakavyotoa kichwani kwako.
 
Wewe na mimi pia watanzania, kama mwenzetu unaelewa mitazamo yake ya maendeleo ya kiuchumi embu tuelezee ana mipango gani.

Uweke na reference na sisi tukasilikize sio utakavyotoa kichwani kwako.
Kwa nini usiwe na subira. Si karejea juzi tu?
Acha yeye na Chama chake wajipange, waamue watakachotaka kutueleza waTanzania. Wakati ndio huu unasogea kusikia wanachotaka kueleza.
 
Kwa nini usiwe na subira. Si karejea juzi tu?
Acha yeye na Chama chake wajipange, waamue watakachotaka kutueleza waTanzania. Wakati ndio huu unasogea kusikia wanachotaka kueleza.
Mbona Nyalandu mtia nia mwenzie ana kijiplan chake cha uchumi ambacho anakitolea ufanunuzi iweje Lissu hana.

Jibu ni jepesi Tundu Lissu anataka kugombea uraisi kutokana na sympathy tu, lakini yeye mwenyewe hajui anata kuwafanyia nini watanzania.

Ndio maana akiulizwa kuhusu uchumi anatoa majibu ya ovyo; wewe unataka kusema zahanati kila mahala hazina tija, shule kukarabatiwa hakuna tija, vivuko vinavyowekwa kwenye maziwa havina tija.

Naweza kuandika yaliyofanyika yanayowagusa watu moja kwa moja chungumzima. Halafu atokee mtu anakwambia atafanya kinyume na hapo huyo timamu kweli?
 
October ifike haraka wajulikane marofa ni kina nani, iwe zawadi kwa Mkapa. RIP
 
Damn bad egg...BBC they are note voters.What is your intention comrade?
Ni vizuri kutumia lugha yako unayoweza kwakweli
 
Una tatizo.

Lissu amerudi juzi, hajakaa sawa, unataka aeleze kila kitu atavyofanya..., kwa nini huna subira na unakimbilia hitimisho. Kama hilo sio tatizo ni nini.

Hayo yote ya vitu unayoyaeleza kama uchumi, huo uchumi una maana gani kwa watu ambao ni 'mateka'. Huo uchumi una maana gani kwao.

Hivyo vitu, Zahanati, shule, barabara,n.k., zinazuiwa kuwepo watu wakiwa huru na haki zao bila kukanyagwa?
 
Kama ulisoma mpaka kidato cha nne kuna mada kwenye somo la Historia inaitwa Colonial Economy na nyingine Colonial Social Services... hao walikua wazungu wakafanya hivyo apa Afrika ila muda ukifika wakafurushwa .
 
Kiingereza ni lugha tu kama Kiswahili, labda kama bado mnaendelea kuwaabudu wazungu ambao walibeba babu zenu kama watumwa.
Ndiyo maana wewe umetumia kifaa ulichotengeza apo uswazi kujibu huyu mtu!
Ndege iliyobeba mwili wa Mh.Mkapa imetengezewa apo Nyarugusi...aaaah tuache kuwatukuza wazungu.
 
chuma kiko njema sana.

aisee I can't wait for the presidential campaign to kick off.... It'll be moto moto!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…