BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

kwa wanahabari hawa akina Pasco njaa kali hadi kwenye kope usitegemee chochote zaidi ya mapambio ya kusifu na kuabudu.
Yaani ukitazama TV stations za Kenya na Uganda via DSTV yaani unaona debates za issues za nchi yaani mpaka unaona raha ila sasa ukija huku bongo looh! ukiweka TBC hapo ni tunatekeleza tu asubuhi mpaka jioni, weka Channel10 hapo ndio usiseme promotion Tv ya chama yaani No debates.

Zamani kulikuwa na vipindi kama vile, Je tutafika pale channel10, Hamza Kasongo hours (hiki ni kipindi changu bora kabisa kuwahi kutokea) yaani mambo aliyokuwa anayafanya mzee Kasongo ndio anayafanya sasahivi jamaa mmoja wa Kenya anaitwa Jeff Koinange

Channel10 alikuwepo mtangazaj akiitwa Bahati Mndepele Nyembe huyu alikuja na ripoti ile ya watoro yatima wilaya ya Makete ( best documentary)
Sasahivi wanahabari wanakuandalia makala za ajabu.
 
Sheria mbovu na ubabe wa Tanzania ya Magufuli ndio umepekekea waandishi waliopo Tanzania waogope kuripoti habari ambazo Rais Magufuli hazipendi.
 
Ni Kweli inauma sana!!! Kenya mnakiherehere sana,,, mbona bongo hamna anae fatilia kuripoti habari zenu?


Take example

Matatizo ndani ya ndoa na familia kiujumla ayasemee jirani yako mtajisikiaje?


Hilo wabongo mnapofuka sana.

Mi mtoa mada nimekuelewa sana.
 
Back
Top Bottom