BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Umejuaje mimi Muislamu?
Mathayo 7
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
 
Umejuaje mimi Muislamu? Hujajibu swali unahubiri dini.

Unafanya jitihada za ziada kuwa mjinga hivi? Au huu ni ujinga wa asili tu?
 
Umejuaje mimi Muislamu? Hujajibu swali unahubiri dini.

Unafanya jitihada za ziada kuwa mjinga hivi? Au huu ni ujinga wa asili tu?
Wewe ni Mwislamu
Nakujua kwa Maneno yako.

Mimi Bado mjinga ndio maana naendelea kujifunza.

Wewe tayari ushafikia level ya Allknowing.
Unajua kila kitu.
 
Wewe ni Mwislamu
Nakujua kwa Maneno yako.

Mimi Bado mjinga ndio maana naendelea kujifunza.

Wewe tayari ushafikia level ya Allknowing.
Unajua kila kitu.

Unaenxelea kujifunza kwa kulazimisha mimi ni Muislamu?

Wanaonijua wanakucheka tu.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.
 
Video ya unyanyasaji wa Nabii Joshua, haiwezi kutoka kamwe na haipo.

Sio kila Nabii ni Tapeli.
TBJ amefanya mengi mazuli lakini BBC hajawahi kuandika chochote kizuri alichokifanya.

Hakuna video wala nini na ingeisha toka kama ipo
BBC sio Malaika kuwasema kuwa hawaandiki habali za majungu hasa kwa Afrika na watu wake.

Msipoteze muda kuisubiri hiyo video ni kwamba haipo.
TBJ ameishi maisha ya Kilokole tokea akiwa mtoto mdogo.
Alipofikia Umri wa kuoa akaoa.

Tunawasubiri BBC kuweka hiyo video ambayo haipo, na kuitunga hawawezi.
Acha kutetea mbakaji
Hawa manabii wote ni fake tu

Ni mafala wezi na wajinga
 
BBC inaenda kufa
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.

Pia soma: UCHUNGUZI WA BBC: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
 
Wewe huijui Biblia kabisa.

Yesu alisharudi mara ya pili kitambo.

Alikufa akaenda Mbinguni akarudi tena na kuwaambia wanafunzi wake wahubiri injiri ulimwenguni kote.

Akirudi tena itakuwa mara ya tatu

Mara ya kwanza alikuja akipitia tumboni kwa Mariamu mamaye
(Sio Maria tafadhari)

Mala ya pili alirudi kupitia Kaburini aliko zikwa.
Siku aliyofufuka (huna akili kabisa)

Mala ya tatu atakuja kama alivyo paa Mbinguni.

Waislamu someni Qurani Yenu. Kamwe hamta ielewa Biblia

Biblia haisomwi kwa uwezo wa Majini.

Biblia inasomwa kwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Muhammadi kafariki muda mrefu na amesha oza.
Kwahio naomba utujuze hapa.
TB Joshua na GWAJIMA wanaodai wanafufua wafu hao wametembelewa na Roho mtakatifu na akawafunza BIBLIA vizuri au?
Naomba Jibu "ndio" au "hapana"
Sitaki uanze kuandika mistari ya kwaya hapa.
 
Ungejikita kujibu hoja matusi hayafai
We hujajua kuwa matusi ni moja ya ibada ya kigalatia.
Andiko limejaa matusi hatari.
Nikiweka hapa baadhi ya mistari ya Bible uzi utafungwa sasa hivi.
 
Kwahio naomba utujuze hapa.
TB Joshua na GWAJIMA wanaodai wanafufua wafu hao wametembelewa na Roho mtakatifu na akawafunza BIBLIA vizuri au?
Naomba Jibu "ndio" au "hapana"
Sitaki uanze kuandika mistari ya kwaya hapa.
Ni lini TB Joshua alisema anafufua wafu ?
Au umesikia BBC ?

Mimi simtambui Gwajima,
Wala sijawahi msikiliza Maneno yake, alisema kamfufua nani ?
 
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!

Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719

Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️🚴🏿‍♀️💨

📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718

TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.

Pia soma: UCHUNGUZI WA BBC: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
 
Nilikuja kugundua jamaa msanii siku moja macheko emmanuel tv, wakarusha jamaa ameenda kutembelea kituo cha walemavu akapeleka baskeli za walemavu kama msaada

Nikajiuliza kwanini asingewaombea wapone, why anawapa baskeli?

Wale ni real walemavu sio maigizo
... kabla hajaanza uchungaji, Masanja mkandamizaji, akiwa na Original Comedy, siku moja alituburudisha na 'MIUJIZA FAKE' ... NATUMAINI SASA HIVI NA YEYE SIO MDAU WA MIUJIZA FAKE, i.e NATUMAINI ANAHUBIRI INJILI SAFI YA WOKOVU NA MAOMBI YANAYOMTUKUZA MUNGU KAMA MUNGU!
 
Back
Top Bottom