Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Marehemu alikuja Dsm pekupeku nakumbuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhhh..... Godly agents ni kina nani?Hao sio walokole ni mapandikizi ya lucifer (shetani). Huduma nyingi za kiroho zinafanywa na shetani kuzuia na kudhoofisha imani ya wokovu! Hata hivyo wokovu ni halisi na watu wanaokoka na kuishi maisha ya haki hapa duniani. Kwa mfano watu kama Mwamposa, kuhani Musa, Mwingira, n.k hao wote ni satanic agents
Hawa manabii haihitaji BBC kuwajuaBreaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿♀️🚴🏿♀️🚴🏿♀️💨
📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Pia soma: UCHUNGUZI WA BBC: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
BBC ni nani mpaka wajue unabii fake na unabii wa kweli? Wamefunga maombi Mungu akawaonyesha unabii huo? Kwa Tb Joshua wameenda maelfu ya watu toka pande kuu nne za dunia na viongozi wakubwa wamefika kupata huduma za kiroho na asilimia 90% ya huduma yake ilikuwa live kila mtu alikuwa anaona namna ya mapepo yanavyotolewa, mimi nimefuatilia hao watu wanaotuhumiwa mbona ni maelezo tu bila hata video zinazoonyeshwa huo unyanyasaji? Kwa Tb Joshua wengine walikuwa wanakerwa wakiwa vichaa ili waombewe , mtu kichaa lazima afungwe kamba ili asilete madhara kwa watu wengine. Maswali ya kujiuliza
1. Unawezaje kuamini maelezo ya watu 30 na wakati wanaoenda pale scoan ni maelfu ya watu, kama hau ni maadui zake inakuaje?
2. Hao wanaodai wamedharirishwa kwanini watafute media badala ya kwenda mahakamani kumshitaki?
3. Kwanini wasubiri mtu amekufa ndoa watoe malalamiko hayo ?
4. Usafi na uhalali wa BBC kuhoji mambo ya kiroho wanaitoa wapi? Mbona ushoga unaolingana na biblia wameukumbatia?
5. Kwanini wengi wanaolalamika ni wale waliotolewa maepo na Tbl Kishua?
6. Mbona hao BBC hawaelezi mema yaliyofanywa na Tb Joshua ya kutumia billions of money kusaidia wasijiweza, kusomesha watu?
5 Tunajua huduma ya Tb Joshua iliharibu biashara za wakubwa duniani, ilifikia hatua wenye kansa, HIV, uvimbe, sukari na magonjwa mengi yanapona kwa njia ya maombi bila kutumia dawa.
Palipo na mafanikio chuki lazima, na mti mwema hutupiwa mawe.
BBC hawezi kutuelekeza mambo ya Mungu kuwa huyu ni mtumishi fake au wa Mungu. Hizo scandal wanazotengeneza hazifanikisha mipango yao ya kutaka kufuta legacy ya TB Joshua.
Dunia Haina ukweli bali wengi wenu ni waongo kama baba yenu ibilisi!Acheni utetezi dhaifu. Lazima ukweli uwekwe wazi.
Bado hujafikiriaNilikuja kugundua jamaa msanii siku moja macheko emmanuel tv, wakarusha jamaa ameenda kutembelea kituo cha walemavu akapeleka baskeli za walemavu kama msaada
Nikajiuliza kwanini asingewaombea wapone, why anawapa baskeli?
Wale ni real walemavu sio maigizo
Kabaka sana wanawake daah.Mimi ninachojiuliza kwa nini wamesubiri kuitoa wakati ameshafariki
Kwenye dstv wametoa tangazo tangu wiki iliyopita kuanza tar 15 mwezi huu haitakuwepo hewani tena kwenye king'amuzi hiyo Emmanuel tvTV yake inayoitwa Emmanuel TV bado hipo
Wewe ni mbuzi.....5 Tunajua huduma ya Tb Joshua iliharibu biashara za wakubwa duniani, ilifikia hatua wenye kansa, HIV, uvimbe, sukari na magonjwa mengi yanapona kwa njia ya maombi bila kutumia dawa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]BBC ni nani mpaka wajue unabii fake na unabii wa kweli? Wamefunga maombi Mungu akawaonyesha unabii huo? Kwa Tb Joshua wameenda maelfu ya watu toka pande kuu nne za dunia na viongozi wakubwa wamefika kupata huduma za kiroho na asilimia 90% ya huduma yake ilikuwa live kila mtu alikuwa anaona namna ya mapepo yanavyotolewa, mimi nimefuatilia hao watu wanaotuhumiwa mbona ni maelezo tu bila hata video zinazoonyeshwa huo unyanyasaji? Kwa Tb Joshua wengine walikuwa wanakerwa wakiwa vichaa ili waombewe , mtu kichaa lazima afungwe kamba ili asilete madhara kwa watu wengine. Maswali ya kujiuliza
1. Unawezaje kuamini maelezo ya watu 30 na wakati wanaoenda pale scoan ni maelfu ya watu, kama hau ni maadui zake inakuaje?
2. Hao wanaodai wamedharirishwa kwanini watafute media badala ya kwenda mahakamani kumshitaki?
3. Kwanini wasubiri mtu amekufa ndoa watoe malalamiko hayo ?
4. Usafi na uhalali wa BBC kuhoji mambo ya kiroho wanaitoa wapi? Mbona ushoga unaolingana na biblia wameukumbatia?
5. Kwanini wengi wanaolalamika ni wale waliotolewa maepo na Tbl Kishua?
6. Mbona hao BBC hawaelezi mema yaliyofanywa na Tb Joshua ya kutumia billions of money kusaidia wasijiweza, kusomesha watu?
5 Tunajua huduma ya Tb Joshua iliharibu biashara za wakubwa duniani, ilifikia hatua wenye kansa, HIV, uvimbe, sukari na magonjwa mengi yanapona kwa njia ya maombi bila kutumia dawa.
Palipo na mafanikio chuki lazima, na mti mwema hutupiwa mawe.
BBC hawezi kutuelekeza mambo ya Mungu kuwa huyu ni mtumishi fake au wa Mungu. Hizo scandal wanazotengeneza hazifanikisha mipango yao ya kutaka kufuta legacy ya TB Joshua.
@JR 16 pitia hapa hemNilikuja kugundua jamaa msanii siku moja macheko emmanuel tv, wakarusha jamaa ameenda kutembelea kituo cha walemavu akapeleka baskeli za walemavu kama msaada
Nikajiuliza kwanini asingewaombea wapone, why anawapa baskeli?
Wale ni real walemavu sio maigizo
Ana pacha wake yuko Morogoro wanafanana hivyohivyo hata jina wanafanana piaTB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
BBC hii siyo unayoisema wewe hapa.Sio waandishi wote wana njaa, hasa unapozungumzia waandishi wa chombo kikubwa kama BBC cha ulimwengu wa kwanza ambaacho kinatoa hadi taarifa hasi za mabilionea mara nyingi tu.
@JR 16 pitia hapa hem
Umemfanya nicheke, TB Joshua ni mtu alikemea na kuwafungua mashoga na kuachana na kazi hiyo, tuliona vijana mashoga kule Paraguay na Peru walivyofunguliwa kupitia mambo, wengi baada ya kuombewa walikuwa wanalia, kumbe lilikuwa ni pepo. Iko hivi hata Yesu na mitume hawa kuponya kila mtu, walipoona ni wale waliohitaji uponyaji na kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao, pia kuna vilema wengine ni vilema kwa ajili ya utukufu wa Mungu, Mungu ndo amewaomba vile vile. BBC wanataka kutuaminisha kwamba Mungu haponyi kupitia watumishi wake, kwamba uponyaji ulioandikwa kwenye biblia ni uongo, BBC inatakiwa wakasaidie vijana mapunga wa huko Ukata.@JR 16 pitia hapa hem
Kwahio una amini kama jamaa kweli alikua nabii???Umemfanya nicheke, TB Joshua ni mtu alikemea na kuwafungua mashoga na kuachana na kazi hiyo, tuliona vijana mashoga kule Paraguay na Peru walivyofunguliwa kupitia mambo, wengi baada ya kuombewa walikuwa wanalia, kumbe lilikuwa ni pepo. Iko hivi hata Yesu na mitume hawa kuponya kila mtu, walipoona ni wale waliohitaji uponyaji na kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao, pia kuna vilema wengine ni vilema kwa ajili ya utukufu wa Mungu, Mungu ndo amewaomba vile vile. BBC wanataka kutuaminisha kwamba Mungu haponyi kupitia watumishi wake, kwamba uponyaji ulioandikwa kwenye biblia ni uongo, BBC inatakiwa wakasaidie vijana mapunga wa huko Ukata.
kwa mjibu wa biblia nabii ni mwonaji, manabii walikuwa kuwepo na mpaka sasa wapo, mimi kwa imani yangu ya Kikristo yule alikuwa prophet, nyie kama mngeishi enzi za Yesu au Mhamad mngeshiriki kuwaua kuwa ni manabii fake. BBC hawana uhalali wa kujadili mambo ya Mungu.Kwahio una amini kama jamaa kweli alikua nabii???