BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Umejuaje mimi Muislamu?
Mathayo 7
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
 
Umejuaje mimi Muislamu? Hujajibu swali unahubiri dini.

Unafanya jitihada za ziada kuwa mjinga hivi? Au huu ni ujinga wa asili tu?
 
Umejuaje mimi Muislamu? Hujajibu swali unahubiri dini.

Unafanya jitihada za ziada kuwa mjinga hivi? Au huu ni ujinga wa asili tu?
Wewe ni Mwislamu
Nakujua kwa Maneno yako.

Mimi Bado mjinga ndio maana naendelea kujifunza.

Wewe tayari ushafikia level ya Allknowing.
Unajua kila kitu.
 
Wewe ni Mwislamu
Nakujua kwa Maneno yako.

Mimi Bado mjinga ndio maana naendelea kujifunza.

Wewe tayari ushafikia level ya Allknowing.
Unajua kila kitu.

Unaenxelea kujifunza kwa kulazimisha mimi ni Muislamu?

Wanaonijua wanakucheka tu.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.
 
Acha kutetea mbakaji
Hawa manabii wote ni fake tu

Ni mafala wezi na wajinga
 
BBC inaenda kufa
 
Kwahio naomba utujuze hapa.
TB Joshua na GWAJIMA wanaodai wanafufua wafu hao wametembelewa na Roho mtakatifu na akawafunza BIBLIA vizuri au?
Naomba Jibu "ndio" au "hapana"
Sitaki uanze kuandika mistari ya kwaya hapa.
 
Ungejikita kujibu hoja matusi hayafai
We hujajua kuwa matusi ni moja ya ibada ya kigalatia.
Andiko limejaa matusi hatari.
Nikiweka hapa baadhi ya mistari ya Bible uzi utafungwa sasa hivi.
 
Kwahio naomba utujuze hapa.
TB Joshua na GWAJIMA wanaodai wanafufua wafu hao wametembelewa na Roho mtakatifu na akawafunza BIBLIA vizuri au?
Naomba Jibu "ndio" au "hapana"
Sitaki uanze kuandika mistari ya kwaya hapa.
Ni lini TB Joshua alisema anafufua wafu ?
Au umesikia BBC ?

Mimi simtambui Gwajima,
Wala sijawahi msikiliza Maneno yake, alisema kamfufua nani ?
 
 
... kabla hajaanza uchungaji, Masanja mkandamizaji, akiwa na Original Comedy, siku moja alituburudisha na 'MIUJIZA FAKE' ... NATUMAINI SASA HIVI NA YEYE SIO MDAU WA MIUJIZA FAKE, i.e NATUMAINI ANAHUBIRI INJILI SAFI YA WOKOVU NA MAOMBI YANAYOMTUKUZA MUNGU KAMA MUNGU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…