Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #21
Waambie BBC unaniambia mimi kwani mimi ndiyo nimesema sasa hata CNN nayo wamegeika baada ya kukataliwa kuingia Hospital.Acha uwongo ,na yale mashimo yaliyopo kwenye hiyo hospitali yanawekwa na Israel? Hata Aljazira ambao ni based Hamas leo nimeona wakiweka hii taarifa ya shimo kukutwa kwenye hospitali. Taarifa hii ina siku tatu,lakini Aljazira waliomaliza kimya.
Yote kwa yote haitasaidia.
BREAKING: HAMAS TUNNEL “FOUND” BY ISRAEL IS A WATER RESERVOIR
This is why they didn't film 'inside' the tunnel.