Acha uwongo ,na yale mashimo yaliyopo kwenye hiyo hospitali yanawekwa na Israel? Hata Aljazira ambao ni based Hamas leo nimeona wakiweka hii taarifa ya shimo kukutwa kwenye hospitali. Taarifa hii ina siku tatu,lakini Aljazira waliomaliza kimya.
Yote kwa yote haitasaidia.