Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Uchochezi ni nini ndugu yangu ?Kwani sheria si zipo wazi? Ukiandika uchochezi sheria inafuata mkondo.
Wanajukwaa !
Leo asubuhi siku happy kabisa baada ya kusoma makala ya hii ya mwandishi Sammy Awami nakala ndefu (long read) kama wanavyoziita kule BBC ya kutia huzuni,dhihaka, na udhalilishaji kwa Rais wa Tanzania imepakiwa na mtanzania mwenzetu tena mnyamwezi wa Tabora juu ya utendaji wa Rais wetu John Magufuli imeniumiza sana tena sana , kwa kuwa nitaandika machache na mods wanisaidie kuuga nakala yote ya English kutoka BBC.
Heading inasema -Tanzania's Magufuli -talking on coronavirus and imperialism
Nitatumia neno 'Eti' kuonesha mashaka makubwa ya mwandishi huyu.
Hoja
1. Eti Rais Magufuli anakosolewa kwa kurudiarudia kuwashambulia mabeberu na kutangaza kuwa ndani ya Afrika mashariki yeye tu ndio ameimaliza corona (huu ni upotoshaji Rais wetu amesema corona bado ipo na kutuwe makini kufuata kanuni za afya na tuchukue tahadhari)
2. Eti ametumia miaka mitano kujifanya mmajumui wa Afrika na kupambana na unyonyaji wa kimagharibi kwa kutumia ukatoriki ( si kweli rais wetu anaheshimu sana mahusiano mema na nchi za ulaya kama wahisani na marafiki ametuma mabalozi na kuwapokea kwa bashasha ikulu na kuwashirikisha kila kitu kwa mujibu wa sheria)
3. Mwandishi Sammy Awami anadai eti aliukataa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na kusema waliopitisha ni wehu (madman) akimlenga mtangulizi wake Jakaya Kikwete. (Hii si kweli huu makataba serikali ilifafanua ugumu wa vipengele vya ule mkataba ambao hata hivyo hatua za mwisho za kuupitisha zilikuwa bado)
3. Eti Rais wetu anandoto kubwa kupita kiasi/uwezo wa kimadiliko ambao unamfanya ajiamini zaidi na kubinya upinzani na habari huku ameongeza uchunguzi kwa wanao mipinga hasa waandishi wa habari na wanaharakati (hapa mwandishi ameonesha jinsi anavyo beba agenda zake maana yeye mwenyewe tangu afanye kazi hapa Tanzania hajasumbuliwa kwa lolote sasa mbinyo gani na lini alifatiliwa)
4. Eti Rais wetu hapendi kushirikiana na majirani wala hakusaisi mizozo ya mipaka kati ya Kenya na Zambia mipakani ( huu ni uongo na uzushi rais wetu amekuwa anatembelea majirani na marais wote majirani wamefika hapa na yeye kwenda kwao na mara nyingi, hata mzozo wa mipaka kipindi cha korona aliutolea kauli na ukaisha akiwa mkoani Singida na kile kikao cha wakuu wa nchi Afrika mashariki waziri Kabudi alikitolea ufafanuzi kuwa hatukuitwa )
5. Eti kuwa yeye na waziri mkuu wanapishana kauli kuhusu idadi ya corona ( hapa mwandishi hakufanya utafiti mdogo tu maana kasi ya maambukizi huapanda na kushuka sio static leo wanaweza wakawa hakuna kesho wakawa wengi au wakawa wengi na wakaisha hili ni jambo la kawaida)
6. Eti magufuli anaamini ushirikiano wa Afrika tu wazungu anawaona kama maadui - ( huu ni uchochezi hapa tunazo balozi za mataifa mbalimbali pia Rais amekuwa akiwaomba waje kungana na watanzania kupigania maendeleo kama marafiki)
Ubeberu sio tusi ni sawa na wao wanavyotuita wajamaa
Ubeberu ni upebari mkongwe sasa hapo tusi liko wapi
Capitalism -ubepari-capitalist-bepari
Imperialism -ubeberu-imperialist-beberu
Socialism-ujamaa-socialist -jamaa
So mh rais kuwaita mababeru sio kosa hata kidogo ni kama wao wanavyotuita wajamaa
WITO KWA WAZIRI KABUDI
Muiteni huyu mwandishi maana kituo chake cha kazi kiko hapa Dar mumuhoji kama mlivyomuhoji balozi wa U.S. ,m kimuacha kesho ataandika uongo tena
Chanzo BBC
USSR

Kwani sheria si zipo wazi? Ukiandika uchochezi sheria inafuata mkondo.
Sheria za nje lazima ziheshimiwa,sio ukomunist wala uonevu. Soma kifungu cha 52(1)(a) cha media services Act utajua uchochezi ni nini.Uchochezi ni nini ndugu yangu ?
Mbona swala jamaa linawatoa utu na akili ?!. U communist hautatutoa mrisi. Amini usiamini . Ninao usoefu, siyo rahisi kihivyo
Wewe labda na genge lako. Tatizo huna maarifa mapana. Ungekuwanayo usinge wababaika mabeberu na kuwaogopa.Afrika hakuna kiongozi anayeweza ushindana na mabeberu tunajidanganya tu! Mfano vyombo vyote vya mawasiliano tunavyo tumia ni vyao, macamera yao huko angani yameelekezwa kwetu uchafu wote tunao fanya wanauona wakiamua kuuweka hadharani ni kiongozi gani atakuwa salama?
Yaani Uvccm bhana, tangu lini Mzungu akamuogopa Bush man?Mkuu hata mimi nimeona hii habari hawa wazungu wameogopa ile hotuba yake ya kufunga bunge zile data zimewanyanya waone hata maana JPM hajaenda kwao sasa wanatumia BBC ambacho ni chombo chao cha propaganda