The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Lugha na Elimu Watanzania bado tupo nyuma kimatibabu
ona Nurse anatoboa kichupa cha chanjo bila gloves hajui ni hatari kuwashika kila mtu, je hiyo chanjo haiwezi kuvuja?
Madaktari kutoka India wanapata shida ya kuwasiliana kwa Kiingereza, inahatarisha maisha ya raia wao. Afadhali madaktari kutoka Kenya hawatakua na language barrier na wagonjwa wao.
Covid imetengeneza ajira sana hospitali na nursing homes. Regulations zinasema kila baada ya lisaa limoja sakafu na vitasa vya milango visafishwe. Portugal walitangaza nafasi za kazi kwa hospital cleaners kutoka Africa.Na miezi michache iliyopita Serikali ya UK imeanza kuajiri madaktari, manesi na wengine kwenye field hiyo kwa wingi.
Wasije wakawa wanataka kamikaze soldiers kwenda kupambana na delta variant 🤣Na miezi michache iliyopita Serikali ya UK imeanza kuajiri madaktari, manesi na wengine kwenye field hiyo kwa wingi.
Ni vema Sana...Kenya na UK Wana uhusiano wa mda mrefu sana,,niliona documentary moja ilikua inaonyesha Jeshi la Uingereza likifanya mazoezi huko Northern Kenya kwenye jangwa
This corrupt government is very busy to wipe Chadema, very sad but it’s the TRUTH.
Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza...
You are always sick of any regime of the day.
Covid imetengeneza ajira sana hospitali na nursing homes. Regulations zinasema kila baada ya lisaa limoja sakafu na vitasa vya milango visafishwe. Portugal walitangaza nafasi za kazi kwa hospital cleaners kutoka Africa.
Yeah! Because they are all corrupt and the record speaks for itself and for so many years now, unless you’re running from the TRUTH.
Kunyaland hii hii ya accent za Gikuyu? na Kunyaland hii hii ilichukua madaktari Cuba kutokana na upungufu!Madaktari kutoka India wanapata shida ya kuwasiliana kwa Kiingereza, inahatarisha maisha ya raia wao. Afadhali madaktari kutoka Kenya hawatakua na language barrier na wagonjwa wao.
Uingereza inashindwa kuchukua madaktari Cuba sababu ya language barrier, Wahindi ni shida sana kuwasiliana na wagonjwa. Kenya wana Kiingereza kizuri hasa kwa kuandika.Kunyaland hii hii ya accent za Gikuyu? na Kunyaland hii hii ilichukua madaktari Cuba kutokana na upungufu!