The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza.
Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani na kupandisha tozo mara dufu.
Nadhani tungeweza kuongea vizuri na viongozi wa dunia tungetafutia ajira walimu wa kiswhili, maana ndiyo bidhaa tunayoimiliki kwa wingi na kwa uhakika.
Inasikitisha pale unamsikia kiongozi mwenye dhamana akiwalaumu vijana kwamba hawana uthubutu na ubunifu wakati wao wameshindwa kubuni fursa za ajira kwa vijana.