BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
 
ulivo zuzu ukajaa na zile movie za putin na wagna
wenzako wamehamishia majeshi beralus ili kuivaa kiev wew zumbukuku unaharisha huku...
 
marekani anataka kuchukua point bila kazi yeyote. aseme tu hakujua lolote. kama alijua mbona hakutoa taarifa?
 
CIA wana mkono kwenye uasi uliotokea jana, matarajio yao nchi ingeingia kwenye machafuko makubwa. Mambo yamekuwa kinyume.
Hakuna mkono wala mguu maana huo uasi haujatokea kama walipanga hivyo CIA otherwise useme waliingizwa mkenge wakatoa hela kwa prigozhin akawapiga kidole cha kati [emoji867]
 
Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
Huna akili ya mrusi wewe endelea kulima maboga hapo kijijini kwenu
 
Wewe kila kitu cha USA kinakuuma, Amerika ni baba lenu bwana, saizi boss wenu anahangaika na mamluki hadi aibu kwenu
 
Hakuna mkono wala mguu maana huo uasi haujatokea kama walipanga hivyo CIA otherwise useme waliingizwa mkenge wakatoa hela kwa prigozhin akawapiga kidole cha kati [emoji867]
Kama walitoa hela kwa Prigozhin unawezaje kusema hakuna mkono wao?!
 
Uongo wanajulishwa tu,vipi na ikiwa walichezea game,kama wakilalama ushindi wa Mzee Trumpet ulichangiwa na Mosco, iweje leo wajimwambafai kinara viwango hivi?Kila siku kulia mashambulio ya kimtandao kutoka Mosco😂
 
CIA wana mkono kwenye uasi uliotokea jana, matarajio yao nchi ingeingia kwenye machafuko makubwa. Mambo yamekuwa kinyume.
Kama mnadhani walikuwa na mkono kwenye uasi ule, kwanini hamuwaamini wakisema walijua kuhusu kutokea kwa uasi huo mapema kabla haujatokea ?
 
Binafsi naamini walijua na pengine hata kuhusika kwenye uratibu; bahati mbaya sana kwao uasi haukufika walikotarajia.

Hawakutegemea kuwa ungezimwa ndani ya siku ya kwanza, tena pasipo madhara yoyote. Ushahidi ni kauli za Blinken alizotoa leo.
 
CIA ndio iliiangusha USSR, tuwe na heshima pale tunapoitaja CIA.
 
Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
Umejiuliza Kwa Nini NATO hawaingii kijeshi?
 
Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
Sasa kama udhaifu umeonekana basi si NATO waende sasa wakawavamie mbona simpo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…