BBC media na Kanisa Katoliki

BBC media na Kanisa Katoliki

Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki.

Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k.

Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa kutwa wamekomaa na Katoliki tu.

Itafikia hatua hata Padre au askofu akikohoa wakati wa ibada wataandika.

Duniani kuna Madhehebu zaidi ya 100, ila jamaa wamekomaa na katoliki tu.

BBC si watoe msimamo wa madhehebu mengine kuhusu hayo matakataka.

Kanisa katoliki haliwezi kubariki hayo matakataka.
Pamoja na Uanglicana pia kuna wandishi waislamu nao wako kazini kuuchafua Ukatoliki. Tupo imara kwa Mkono wa Mungu. Amen.
 
Sio BBC hata humu Jamiiforum.
Tena kama Anglican kuanzishwa kwake tu kunashangaza.
 
Sasa hata maana ya Ukatoliki hauijui, kuna haja gani ya kujadiliana jambo usilolijua? Kajielimishe kwanza ndiposa urudi tujadili.
Najua unachota maneno ya vijiweni ndio nikajiuliza kwa Mujibu wa biblia niwapi panaeleza wazi kuwa kabisa unalofungamana nalo ndio lakweli swali limekushinda kwasababu biblia haitaji kabisa lako Bali unajaribu kujinasibisha 😅
 
Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki.

Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k.

Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa kutwa wamekomaa na Katoliki tu.

Itafikia hatua hata Padre au askofu akikohoa wakati wa ibada wataandika.

Duniani kuna Madhehebu zaidi ya 100, ila jamaa wamekomaa na katoliki tu.

BBC si watoe msimamo wa madhehebu mengine kuhusu hayo matakataka.

Kanisa katoliki haliwezi kubariki hayo matakataka.
Bahati nzuri BBC hawana kichwa kidogo cha udini kama cha kwako, asante Mungu!
 
BBC Swahili ni chombo cha udaku. Usiwachukulie serious. Habari zao ziko biased sana hazina ukweli wowote
 
Najua unachota maneno ya vijiweni ndio nikajiuliza kwa Mujibu wa biblia niwapi panaeleza wazi kuwa kabisa unalofungamana nalo ndio lakweli swali limekushinda kwasababu biblia haitaji kabisa lako Bali unajaribu kujinasibisha 😅
Nimekuuliza unafahamu maana ya hilo Kanisa? Unawezaje kujua kitu kipo ama hakipo kama haukijui? Kajielimishe halafu rudi tujadiliane.
 
Tatizo watu msiojua biblia mnakurupuka Sana. Bibilia hautakiwi kusoma au kufundishwa kichwa kichwa. Ndio maana ukija hapa unaanza kuropoka ujinga uliojazwa
 
Kujadili usichokijua kama unakijua... Ni ujinga.
 
Back
Top Bottom