BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Kuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.

Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
The issue here is inhalation of a hot steam whether is steam of water or herbs but is called a steam.
 
Kuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.

Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
Bi dada kaleta nukuu potofu Sasa amekusudia nini
 
Lazima tufuate Raisi wetu yeye ni utaalamu wa chemia kabobea katika hilo na phd, pia anahusiano mkubwa na Mungu uenda kafunuliwa ba Mungu, hao BBC ni waongo sana

Huyo mungu wake (anaemtegemesa akampe ukuu wa malaika) hawezi kuwa kuwa Jehovah Jireh.
 
Trump asema kwa kuwa sanitizer na disinfectant zinatumika kuua virus basi wagonjwa wa corona wachomwe sindano za sanitizer ili kuua virusi vya korona.

TRUMP SUGGEST OF INJECTING DISINFECTANT TO BEAT VIRUS.




TRUMP AND DISINFECTANT AS A CURE FOR VIRUS/ HE EVEN SUGGESTED UV LIGHTS TO BE INJECTED INTO THE BODY.

 
Hao mabeberu tumewashika pabaya!!! wenyewe akili yao wanadhani kwa ujinga wao tunatumia mvuke wa maji ya kawaida na kwamba eti joto la mvuke pekee ndio litaua virus. Kujifukiza maana yake ni kuchemsha dawa na mvuke utasaidia kupeleka dawa hiyo kwenda kuya fekelea mbali hayo ma hayawani waliyoyatengenezea laboratory
 
Na Trump aliyeshuhudia Wamarekani waanikwe juani au wapigwe UV light anatofauti gani na kufukizia?

Waambie si mara ya kwanza kufukizia tuna uzoefu.Waambie ngozi na koo ya black imejaliwa si nyoronyoro.
 
Mbna kwao yamewashinda kazi kuzungumzia ya wafrika.
MAGUFULI WANYOOSHE KIFO KIPO TU ILA SIO KUFATA MAAGIZO YAO
 
Nilipoona hiyo “As they prepare for a surge in cases..” nikabaki nacheka tu, yaana wamekaa wanaminya makende wakisubiri kwa shauku kubwa kuona number of case ls zikionhezeka kwa kasi? Hahahahah...!!!!
 
Jiwe ni wa kumpuuza tu,huku kitaa watu wanasikiliza wataalam walishaachana na habari za jiwe kapuuzwa.
Acha uongo watu wanajifukizia ile mbaya hata wazungu. Kujifukizia hakujaanza leo upo miaka mingi dada ila nyinyi watoto wa kizungu hamjui. Mafua hupona kwa kufukuziwa mvuke miaka yote. Waulizeni na SAUNA wanaijua hao wanaopinga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…