BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

The issue here is inhalation of a hot steam whether is steam of water or herbs but is called a steam.
Kujifukiza mvuke mwilini na kuvuta mvuke wa moto kwenye mapafu we unaona ni vitu vinavyofanana? Mkipewa maneno machafu mtakasirika, maana hao wazungu wameyapotosha hayo maneno out of context kwa makusudi kabisa ili kumfanya Rais wetu aonekana mjinga mbele ya jamii ya kimataifa (wanam-ridicule) maliciously, na wewe unaingia kichwa kichwa tu bila kusima netween the lines, akili zenu huwa mnazificha wapi kabla ya kuja jukwaani?
 
The issue here is inhalation of a hot steam whether is steam of water or herbs but is called a steam.

HAKUNA Mataga atakaelewa ulichoandika hapa. Akitokea Mataga akasema ukweli nitakuonyesha mbuzi mwenye miguu mitano.
 
Waafrica kujifukiza ni dawa tena imesaidia wengi si Wazungu, si Wa Asia, mpende kutumia dawa zenu za asili acheni kupelekeshwa ndio maana mnadharauliwa,

Nani hajawahi kujifukiza kwenye mafua na pua kweli zikazibuka? Yaan kisa Mzungu amekataa basi na nyie mnawafatisha kama manyumbu,

Emancipate yourselves from Mental Slavery, mnatia aibu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.

Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
Kwahiyo ukiwa mvuke wa madawa ndo unaamini poa tu to inhale at 100 degree centigrades? Yaani baada ya kusoma mwanzo hadi mwisho ukaona issue hapo ni maji badala ya huo ukiwa na joto kali kiasi hicho!!!
 
Tunadharauliwa hasa tunapokuwa na viongozi wa karne ya 21 lakini mawazo yao ni kama yale yale ya akina Kinjeketile Ngwale back in 1905!

Tunadharauliwa wanapoona hadi karne ya 21 bado kuna viongozi wa Afrika wanaoamini Mzungu na Mwarabu anampenda sana Mwafrika kiasi kwamba akawaletea Yesu na Uislamu bureeeeeee ili iwe kinga na tiba ya coronavirus.

Halafu ona unavyojichanganya... unajifanya kuhusudu tiba za Kiafrika lakini mwishoni unaishia ku-conclude "Stay at Home"!! Hiyo nayo ni tiba au kinga ya Kiafrika?!
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida.
Hao Bbc washenzi tu maana hawana jipya zaidi ya kutaka Waafrika tufe kama takataka tuokotwe na walivyo na akili finyu walifikiri tutaendelea kuwaza upuuzi wao. Sasa Afrika hii siyo ile.

Wanajitaidi kutupumbuza tuzarau vyetu ili watuuzie dawa na waje kwenye chanjo. Looh baridi kali ulaya hiyooo watakufa kama kuku wakideli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump yeye kasema ifanyike research kuona kama kumuinject mtu (kuchoma sindano) yenye disinfectant (dettol, sanitizer) kunaweza kusaidia kutibu corona😜😎. Huyu hakawii kushauri tunywe 100ml of dettol 2x3 kwa siku 7

Yaleyale ya kujifukiza ili kuua virus aliyekimbilia ndani ya cells
 
Huyu yupo hoi tayari alifikiri kumtetea Bwana yule ni kazi rahisi kama kula urojo
Ila kuwa tarumbeta la DJ kwako unaona Jambo rahisi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Sasa Nani hapo wa kudharauliwa huyo anae sisitiza tiba za asili au wewe unapinga kwa nguvu zote mi naona wa kudharauliwa ni wewe
 
Wao Wazungu na Sisi Nan wanakufa zaid. Walitutisha ndani ya wiki 3 tutashuhudia vifo vingi.lakn MUNGU ni mwema. Sasa waelewe hii ni Vita kila mtu apambane ki vyake.hatuwez kuiga watuu walio shindwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…