let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Weka propaganda za Zionists pembeni halafu tujadili Facts
Israel haina haki ya kujitetea wala kujirinda dhidi ya Palestine kama ambavyo Makabulu hawakua na haki ya kujitetea au kujirinda dhidi ya South Africa
Kulazimisha kuwa Israel inahaki ya kujitetea na kujirinda ni sawa na kusema Jambazi pia anahaki ya kujirinda pale anapokuvamia kwenye nyumba yako
Nyie Pro Israel wa kibongo mna vitu viwili vya pamoja
1. Hamjui historia ya Palestine na jinsi gani Israel ilivyoundwa kimabavu ndani ya Palestine kwa baraka ya Muingereza na Marekani. Na jinsi gani hao Ashkenazi jews walikuja Palestine kama wakimbizi kutoka Ulaya mashariki....hao wakimbizi ndio hao wa Israel unaowatetea sasa hivi
Ilikua aidha Uganda, Argentina au Palestine, wakachagua Palestine
So Palestine ilivamiwa hapa, kabla ya kuundwa kwa Israel na ujio wa hawa Ashkenazi jews, 80% ya Palestine ilikua ni wapalestina (hizi ni basic facts unazoweza Google)
So Israel kwa sababu yoyote ile haina haki yoyote ile Palestine, ni settler colonial state kama Makabulu wa South Africa
2. Pia mnachanganya Political Zionism na Judaism
Waasisi wa Political Zionism, itikadi ya kisiasa iliyokuja kuunda Israel hawana mahusiano yoyote na dini sio tu uyahudi hata huo ukristo wako unao uleta hapa
Muasisi wa Political Zionism ni Atheist, Google atheism ujue maana yake...hawa hawaamini Mungu
So kama unahisi huu ni mgogoro wa kidini kati ya ukristo na uislamu, basi wewe hujui chochote
Wapelestina wapo pale maelfu ya miaka, tuna clips za Ashkenazi Jews wakiwa wanawasili Palestine kama wakimbizi
We tupe clip za Wapelestina wakiwa wanahamia Palestine?
oya,una haki ya kumkoti yoyote ila si sahihi ya kumukoti kila mtu ili ujiumbue wewe ni mtu wa namna gani.
full trash.