BBC na Media za Magharibi wamekataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.



oya,una haki ya kumkoti yoyote ila si sahihi ya kumukoti kila mtu ili ujiumbue wewe ni mtu wa namna gani.
full trash.
 
Unaelewa tofauti ya Mfungwa na Mateka?
Maarifa ni muhimu sana ndiyo maana Lowassa alisema kipaumbele chake cha 1 elimu cha 2 elimu cha 3 elimu cha 4 elimu. Kuna mtu kwenye huu uzi shida yake ni maarifa tu hana 😱 😁😆🤣angekuwa na maarifa wala povu lisingemtoka.
 
🇮🇷 Waziri wa Ulinzi wa Iran:

Nawashauri Wamarekani na wale wanaoshirikiana nao kuondoka katika eneo hili kwa sababu bila shaka watalipa gharama ya kuunga mkono jinai za kundi la Kizayuni.

(Kumbuka: Hii ilitoka kwa waziri wa ulinzi, sio waziri wa mambo ya nje)
 
Tazama huyo wanaedai ni mpiganaji wa Hamas. Walimkamata. Kumbe ni askari wa kiyahudi aliepangwa . Wayahudi wameadhirika sana safari hii na bahati nzuri au mbaya wamewashikia akili watu wengi wajinga.
 

Attachments

  • 04fb3a31-c8df-4223-95ab-8bc527df5bd4.mp4
    4.3 MB
Sio lazima bbc unaweza kutazamana Al-Jazeera tv ya hovyo inayounga mkono terrorism
 
Yaleyale ya Russia na ukraine, Russia anadai hii siyo vita bali operation maalum ya kijeshi!
Ninaweza, hayo Sio yale yale

kulinganisha mzozo baina ya Israel na palestine na hali ya Urusi na Yukrain sio sahihi.



hatahivyo, kikuu hapa ni jinsi chombo cha habari kama BBC kinavyo chochea kuwashusha au kuwapunguzia uzito wa mateso watoto wa kipalestina. In other words, they're dehumanizing.the Palestinians.

Hiyo ni propaganda.

Hoja ni BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina watoto na kuwaita watu wa kipalestina mateka. Kwa lugha nyingine, uwasilishaji wao wa taarifa ya habari unaegemea au kuegemea upande mmoja. wapo biased?
Pitia hapa Propaganda and War.
 
Kuna hadi viongozi wa dini huwaambii kitu wapo tiari kuchangisha sandaka za waumini ili wampelekee letanyau ni aibu kww kweli

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
.
Paroko asiyekuwa na chembe ya huruma na binadamu mwenziwe haiyumkiniki atakuwa ni wa Ile dini nyingine ambako sadaka ni pamoja na nyama na damu za watu.

Wacha udini, wewe dini yako kazi kuchinja watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…