katoto22october
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 284
- 263
Labda wanatumwa asee dahVery sad kwa chombo ambacho kinatarajiwa kuwa mstari wa mbele kulinda katiba ya nchi. Ambayo impa kila raia wa nchi hii haki ya kuishi. Akifanya makosa anatakiwa apelekwe mahakamani na mahakama impatie kile anachostahili kulingana na kosa lake. Ndiyo maana kuna makosa hata ya uhaini.
Sent using Jamii Forums mobile app