malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Tunarekodi tu huyu Bulembo ni mtuhumiwa wa kwanza kwenda ICCHuku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunarekodi tu huyu Bulembo ni mtuhumiwa wa kwanza kwenda ICCHuku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Huyu Bulembo atakuwa wa nne nyuma ya Weji Kamonda NgudaiTunarekodi tu huyu Bulembo ni mtuhumiwa wa kwanza kwenda ICC
na kila siku tunajisifu sisi ni dona kantreMbona tunadhalilishana hivi pound 375m ndo zinatuvua chupi hivi?
Mnajadili kumuua mbunge ndani ya bunge hii ni aibu kiwango cha lamiZitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Tanzania imekosa watu wa kuendesha diplomasia. Kila uchwao ni migongano na wahisani.
Sio imekosa.Tanzania imekosa watu wa kuendesha diplomasia. Kila uchwao ni migongano na wahisani.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nawaza hapa on how the president will calm the situation. Will he remove Kabudi? Return Mahiga ? Re appoint Migiro or will observe until post general election?Sio imekosa.
Wenye uwezo wanaondolewa, wanawekwa ideologues waimba sifa.
Pale Mambo ya Nje palikuwa si pa kumuondoa Dr. Mahiga kwa mfano. Dr. Mahiga alikuwa anajua sana kuwatuliza watu wa nje.
Huyu Dr. Kabudi mtu wa kuita watu "mabeberu" diplomasia haijui, na ataharibu sana mahusiano ya kumataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't think he cares that much.Nawaza hapa on how the president will calm the situation. Will he remove Kabudi? Return Mahiga ? Re appoint Migiro or will observe until post general election?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Very sad kwa chombo ambacho kinatarajiwa kuwa mstari wa mbele kulinda katiba ya nchi. Ambayo impa kila raia wa nchi hii haki ya kuishi. Akifanya makosa anatakiwa apelekwe mahakamani na mahakama impatie kile anachostahili kulingana na kosa lake. Ndiyo maana kuna makosa hata ya uhaini.Halafu yanatamkwa bungeni na wabunge!
wanao wawakilisha wananchiHalafu yanatamkwa bungeni na wabunge!