mushongokle
Member
- Sep 23, 2014
- 95
- 113
hapa ndio ilikuwa sehemu sahihi hasa hasa kwa TL kukoleza moto Zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachafui Hali ya hewa wanaongezea ushahidi na kuuthibitishaHawa vingozi kwa hivi vitisho ndiyo wanazidi kuchafua hali ya hewa huko nje.Kwa wenzetu kutishia kuua ni jambo 'siriazi' mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wnailea wenyewe, wataona matunda yakeManeno ya kutisha kuuwa watu hadharani ndiyo yanatuharibia nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu.
Mtasema mengi.. 😁Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Angekuwa mpinzani... Reserve my commentMaskini Tanzania yangu...imefikia hatua tunatishana kukatana shingo?? Kweli Mzee Kigunge ulikuwa sahihi....RIP.
Wachumia tumboHuku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Majibu utayapata wewe ukiamka. Ha ha haa!
Nashua umeshtuka hukutegemea hili jambo ...Ha ha haa ! Mtapaniki sana tu...!Rubbish.
Hata sielewi ccm wanataka kuipeleka wapi nchi yetu.Huku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Walilopoka mbele ya Balozi wetu wa utalii Bongo Zozo kutoka England.Huwa yanafikiri yanaporopokea pale bungeni kila kitu huwa kinaishia pale! They are cursed!!