BBC News: Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan

Tuliombea kifo Cha CCM tulieni tu saizi wanajitia kitanzi shingoni. Hawa Watajua tu taratibu kuwa sharubu za Simba hazitengenezi fagio[emoji3][emoji3]

Dumelang
Sharubu za simba hazitengenezi fagio...dah nimekuelewa.
 
Tunatoa picha gani kwa dunia ya wastaarabu Kama tunaweza kujadili kumuua mbunge ndani ya bunge na dunia nzima imejua

Sent using kidoleJamii Forums mobile app[/url]

Labda wanahisi Mamlaka yao yanaweza kuitawala Dunia maanake haiwezekani mpo Bungeni mnajadili kuua Raia wenye Mawazo mmbadala na kuacha kujadili ya Msingi.Mabeberu tunawaomba mtusaidie kuuondoa huu Utawala wa Mkoloni mweusi Sababu zipo na wame zidhihirisha wazi wazi ndani ya Bunge la Jamhuri.
 
Wanaupepea moto uwake vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhma/azma yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
 
Labda wanahisi Mamlaka yao yanaweza kuitawala Dunia maanake haiwezekani mpo Bungeni mnajadili kuua Raia wenye Mawazo mmbadala na kuacha kujadili ya Msingi.Mabeberu tunawaomba mtusaidie kuuondoa huu Utawala wa Mkoloni mweusi Sababu zipo na wame zidhihirisha wazi wazi ndani ya Bunge la Jamhuri.
Mkuu daah umetisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Umeanza twisting tena; swali ni kua Wabunge wa ccm hawakusema kua Mh Zito auwawe? na Mh Spika hakusema kua Zito katenda kama Mh Trump kama alivyoshirikiana na nchi za nje kukiujumu Marekani?

Kwani Zito asipokua mwanasiasa ndo sifa ya kutoa maoni kama mTanzania inapotea?
 
Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Rubbish.
 
Si kweli mkuu, labda haumfahamu ZZK vizuri
 
Back
Top Bottom