katoto22october
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 284
- 263
Labda wanatumwa asee dahVery sad kwa chombo ambacho kinatarajiwa kuwa mstari wa mbele kulinda katiba ya nchi. Ambayo impa kila raia wa nchi hii haki ya kuishi. Akifanya makosa anatakiwa apelekwe mahakamani na mahakama impatie kile anachostahili kulingana na kosa lake. Ndiyo maana kuna makosa hata ya uhaini.
Kwani lazima uelewe? Nenda kwa rasi simbaunapoweka link yenye lugha ngeni tafadhari naomba uweke na tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ili watu wengi tuwe tunaelewa kilichoandikwa vinginevyo tutakuona kama mbaguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msemehe hajaelewa kizunguUmeanza twisting tena; swali ni kua Wabunge wa ccm hawakusema kua Mh Zito auwawe? na Mh Spika hakusema kua Zito katenda kama Mh Trump kama alivyoshirikiana na nchi za nje kukiujumu Marekani?
Kwani Zito asipokua mwanasiasa ndo sifa ya kutoa maoni kama mTanzania inapotea?
Hatujawatuma kuua!wanao wawakilisha wananchi
Hawa vingozi kwa hivi vitisho ndiyo wanazidi kuchafua hali ya hewa huko nje.Kwa wenzetu kutishia kuua ni jambo 'siriazi' mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nimeona mahalai eti wameandika kuwa Tanzania ni imeingia kwenye idadi ya nchi ambazo ni hatari kuishi [emoji87][emoji87]
Hii taarifa ni kweli au siyo?!
Ikiwa ni kweli mbona itaweza kuathiri biashara ya utalii pamoja na uwekezaji wa wageni?!
Mwenye kujua atuelezee vizuri aanzishe uzi wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
trump tu yeye anashutumiwa kwa kuongelea uchumi wa nchi yake na mataifa mengine ndio maana anatakiwa avuliwe uraisi iweje sisi mtu anafunga safari kwenda matifa hayoHuku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh, yaani umekomenti hata pasi na kusikiliza kilichomo kwenye clip.. Kuna sessions mbili, ya kiswahili na ya English (kuanzia dkk ya 6:59). Na zote zinaelezea maudhui moja.Hakuna Muzungu anaangalia news kwa Kiswahili, hiyo ni BS.