BBC Swahili hawayaoni maandamano ya Ufaransa? Mbona ya Tanzania wanayaripoti?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
 
kwamba wewe umeyafahamu kupitia TBC? kwamba ufaransa wameuwawa watu kwa risasi.
 
kwamba wewe umeyafahamu kupitia TBC? kwamba ufaransa wameuwawa watu kwa risasi.
Uchunguzi wa kina ulifanyika, walirusha mpaka kwenye MA theatre nk... walitumia kila tekinolojia ya anga, ardhini na hata majini.

Walihoji na kuweka midahalo kila sehemu ya ulimwengu, walihoji hasa wale wanao onekana wanapinga au wapinzani na hizo ndio Habari nzuri pekee walizo rusha kuliko Habari zingine.
 

Hayo ya ufaransa umeyaona TBC 1?
 
Lengo la Western media ni kutoa picha mbaya za mataifa mengine.
 
Umeyaonaje kama hayaonyeshwi?
 
Hata Larry Madowo muandishi wa mchongo wa CNN yupo kimya, eti bado hajayaona kabisa maandamano hayo haramu ya ghasia 🐒
 
BbC news na bbc europe mbona wametangaza, au unaangalia single source?
 

Wapeleke TVT na ITV wakafanye coverage .....!!
 
Bbc swahili wanaripoti ya Tanzania maana ni nchi ya kiswahili, na hiyo idhaa ni kwa ajili ya Kanda hii ya maziwa makuu. Lakini BBB Eurelope/world wanatangaza sana hayo maandamano. Una lingine?
 
Hao magharibi ni maskin na wezi kama sisi?
Ujerumani waliiba sana Afrika, Ubelgiji waliiba na kumuua Patrice Lumumba wa Congo Dr, Ureno waliunda vikosi vya uasi kwenye nchi za Mozambique na Angola ili waendelee kuiba.
Utajiri wa mataifa ya Ulaya unatokana na wizi kwenye makoloni yao na hasa barani Afrika.
Hawajaacha, huko Afrika Magharibi bado Ufaransa wanaendelea kukwapua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…