Wameuawawa wangapi? Nyani weweMbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili