Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok.Wanatumia hekima waliyotumia TBC kipindi kile cha oct 29.

ok.Wanatumia hekima waliyotumia TBC kipindi kile cha oct 29.

Nyani tena? Wameua mamia ya raia zao, lkn vyombo vya habari vimethibitiwaWameuawawa wangapi? Nyani wewe
Mtoa mada anataka kujua kinachoendelea Ufaransa kupitia chombo pendwa cha BBC ambao mara nyingi huwa wanatuletea taarifa kem kem kutoka kwenye majanga na mabalaa ya bara la Afrika.
Ni uhuru wa habari kama ule ambao hapa jf huwa tunawalalamikia TBC kwa ukimya wao kwenye mambo makubwa ya kitaifa kama hilo ulilotaja.
Hatupati habari za kina kutoka BBC Swahili juu ya kile kinachoendelea Ufaransa.
Millard Ayo hakutangaza chochote mpaka siku Zumaridi anaapishwa 😂Na nyie katoeni picha mbaya za mataifa yao.
BBC Ikwiriri 😂Uliangalia BBC yao ipi?
kwa sababu ufarasna hawauia waandamanaji.Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Maandamano ya Tanzania na Iran yaliambatana na mauaji ya mamia ya Raia wema.Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Chadema ni nyumbu kweli, nyie ndo kila siku mnasema Mungu bariki wazungu!Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Documentary ya nini wakati vyombo vyao vya habari na mitandao vipo wazi,hata TBC wanaruhusiwa kwenda kuripoti,hawafichi vifo na maiti kama Wambura na mamake.Tunamsubiri Laryy Madowo wa CNN akaandae documentary huko France na Albania. BBC swahili nao waandae documentary ya kinachoendelea huko ili wana mihemko wapate cha kuongea
Wewe ni raia wa nchi gani huko Ulaya?Na nyie katoeni picha mbaya za mataifa yao.
Unadhani nchi iliyoendelea ni sawa na matopeni kwenu. Hawaui watu wewe. Kule Kuna uwajibikaji, vyombo vya habari vya kimataifa vinafanya kazi kwa uhuru. Umekariri. Nyie ndio wauaji na hamjui thamani ya uhai. Nyani wewe.Nyani tena? Wameua mamia ya raia zao, lkn vyombo vya habari vimethibitiwa
Hata wakiuawa hutasikiakwamba wewe umeyafahamu kupitia TBC? kwamba ufaransa wameuwawa watu kwa risasi.