Wameuawawa wangapi? Nyani weweMbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Ujerumani waliiba sana Afrika, Ubelgiji waliiba na kumuua Patrice Lumumba Congo Dr, Ureno waliunda vikosi vya uasi kwenye nchi za Mozambique na Angola ili waendelee kuiba.
Utajiri wa mataifa ya Ulaya unatokana na wizi kwenye makoloni yao na hasa barani Afrika.
Hawajaacha, huko Afrika Magharibi bado Ufaransa wanaendelea kukwapua.
Wizi ni wizi tu.Sidhani kama waliiba, ni walichukua kama wengine wanavyochukua bilion 730 za El Nino
Ni kama wengine walivyochukua bilion 40 za barabara ya mbeya
Kama wengine walichukua bilion 21 za daraja
Ni walichukua kama wale waliojenga kibanda cha mlinzi kwa milion 30
Ukiripoti wewe inatosha au anzisha TV yako uyaonyeshe 24/7 hakuna atakayekuzuia.Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Sasa, bro unalinganisha Ufaransa, ulaya, na, Africa? Africa ni uchafu mtupu, shitholes, by the way yamelipotiwa Sana na DW, BBC, CNN, sky News nk,Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
EEEeeeHEEE!Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Wizi ni wizi tu.
Wizi ukifanyia familia yako na wizi ukifanyia majirani ni wizi ule ule.
Huwezi kujiona mstarabu eti kwakuwa umeiba kwa jirani kiroba cha mchele umepelekea wanao.
Ok wao wametajirika kwa kuwaibia zaidi ya miaka 60 iliyopita. Je hivyo vilivyobaki mbona hamjawa matajiri kama wao?Ujerumani waliiba sana Afrika, Ubelgiji waliiba na kumuua Patrice Lumumba wa Congo Dr, Ureno waliunda vikosi vya uasi kwenye nchi za Mozambique na Angola ili waendelee kuiba.
Utajiri wa mataifa ya Ulaya unatokana na wizi kwenye makoloni yao na hasa barani Afrika.
Hawajaacha, huko Afrika Magharibi bado Ufaransa wanaendelea kukwapua.
Mbona we hujalipoti ya mahujaji wa Indonesia walionyongwa na Saudi ArabiaMbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Ngoja na wao waue uone watakavyosakamwa na hizo media zao wanazozigharamia. Wakiua au wakiutweza ubinadamu media lazima zilipoti. BBC ni Tbc ya uingereza lakini Haina uchawa na uchawi.Uchunguzi wa kina ulifanyika, walirusha mpaka kwenye MA theatre nk... walitumia kila tekinolojia ya anga, ardhini na hata majini.
Walihoji na kuweka midahalo kila sehemu ya ulimwengu, walihoji hasa wale wanao onekana wanapinga au wapinzani na hizo ndio Habari nzuri pekee walizo rusha kuliko Habari zingine.
Vipi mtandao umefungwa?Mbona ya Tanzania wakiyaripoti kwa upana wake?
Maandamano ya Iran nayo tuliyaona
Mbona ya ufaransa kimya?
Hawaoni gari zikivunjwa? Hawaoni maduka yakiporwa? Hawaoni askari wakitumia nguvu?
Hawaoni watu wakiuawa?
Ukichungulia page ya bbc swahili huoni hata kapicha kadogo cha maandamano.
Kwanini? Au mavi ya mzungu hayanuki?
Chadema tupaze sauti kwa hili
Wewe haumo?Ok wao wametajirika kwa kuwaibia zaidi ya miaka 60 iliyopita. Je hivyo vilivyobaki mbona hamjawa matajiri kama wao?
Kumbe zilikuwa habari za kweli.Uchunguzi wa kina ulifanyika, walirusha mpaka kwenye MA theatre nk... walitumia kila tekinolojia ya anga, ardhini na hata majini.
Walihoji na kuweka midahalo kila sehemu ya ulimwengu, walihoji hasa wale wanao onekana wanapinga au wapinzani na hizo ndio Habari nzuri pekee walizo rusha kuliko Habari zingine.
Wanatumia hekima waliyotumia TBC kipindi kile cha oct 29.Hata Larry Madowo muandishi wa mchongo wa CNN yupo kimya, eti bado hajayaona kabisa maandamano hayo haramu ya ghasia 🐒
Ujerumani waliiba sana Afrika, Ubelgiji waliiba na kumuua Patrice Lumumba wa Congo Dr, Ureno waliunda vikosi vya uasi kwenye nchi za Mozambique na Angola ili waendelee kuiba.
Utajiri wa mataifa ya Ulaya unatokana na wizi kwenye makoloni yao na hasa barani Afrika.
Hawajaacha, huko Afrika Magharibi bado Ufaransa wanaendelea kukwapua.
..Utawala wa Mama Abduli umeuwa Watanganyika wengi kuliko tulivyouwawa na Waingereza.