USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli?
Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai na kuchapisha very cheap, sio BBC ya kuhoji wakuu wa nchi na vitengo nyeti na taarifa za kumakinika
BBC Swahili imekuwa gazeti la udaku kuandika kuwa lisu hajala