BBC Swahili imekuwa too cheap hadi kuchapisha ishu za dodoso la Lissu kule mahakamani, what went wrog ?

Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli?

Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai na kuchapisha very cheap, sio BBC ya kuhoji wakuu wa nchi na vitengo nyeti na taarifa za kumakinika

BBC Swahili imekuwa gazeti la udaku kuandika kuwa lisu hajala

USSR
Wewe mwenyewe juha tu hata kuandika hujui nendwa kwanza kasome kingereza ndo uje hapa kutetea ujinga wenu.
 
Kazi ya chombo cha habari ni kupasha watu habari...
 
Ukiona wengi wanaona ni jambo muhimu halafu wewe pekee huoni kama ni muhimu, utambue kuwa una tatizo kwenye akili yako. Inakuwa ni kipimo kizuri kwa tatizo lako. Tafuta matibabu mapema, ukichelewa utaanza kufanya mambo ya ajabu ambayo wote wataona ni ya ajabu ila wewe utaona ni ya kawaida.

Hata bibi muuaji atakapopelekwa ICC, vyombo vingi vya habari vitaandika, halafu wewe utasema kwa nini wanatangaza tukio dogo hivyo!
Naunga mkono hoja yako mkuu. Dhambi zako apewe shahidi wa kificho p11 Yeriko Nyerere popote alipo
 
Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli?

Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai na kuchapisha very cheap, sio BBC ya kuhoji wakuu wa nchi na vitengo nyeti na taarifa za kumakinika

BBC Swahili imekuwa gazeti la udaku kuandika kuwa lisu hajala

USSR
Tuwekee ushahidi hapa lini walikuwa expensive.
 
Kula ni haki ya msingi
hata wewe ukinyimwa chakula kwa muda mrefu utadhoofu na kufa!
 
Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli?

Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai na kuchapisha very cheap, sio BBC ya kuhoji wakuu wa nchi na vitengo nyeti na taarifa za kumakinika

BBC Swahili imekuwa gazeti la udaku kuandika kuwa lisu hajala

USSR
Tundu lisu Nyaghamba
Hahaha kende zinawauma ehh
Pumbavu
 
Back
Top Bottom