Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Huyu mnyama anapitia manyanyaso ya kubaguliwa sana. Sijui alifanya kosa gani maskini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimiNani kasema tufungie?
Habari hii ilikuwapo kwenye taarifa za habari jana 18/01, tatizo wengi humu hawasikilizi wala kuangalia taarifa za habari.Kuna mdau alileta uzu humu akitaka ukweli wa taarifa kuhusu mabucha ya nguruwe kupigwa marufuku mkoani Shinyanga. Tuitafute ile thread ndipo tuje tuilaumu bbc . Shinyanga iko Tanzania haiko ulaya
Kuwa positive ,, chukulia wamekosea na unawapa nafasi ya kujirekebisha.View attachment 1681121
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?
Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.
Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.
Mataifa ya Africa yanajivuruga yenyewe. Anachokifanya museveni binadamu mwenye akili hawezi kufanya. Yakiharibika utaitaja BBC?Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Hizo mainstream medias zimekaa ki propaganda na uzandiki, ndo mana Trump alikua anazidiss.Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Hawatuwezi,tumeshawashitukia.Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Sisi tulioko Moro tunaendelea kumtafutana mdudu taratibu.View attachment 1681221
Ni huko Kahama,siyo Tanzania nzima
Hapo jamaa yupo msikitini.Kweli kuna watu ni wasema ukweli.View attachment 1681221
Ni huko Kahama,siyo Tanzania nzima
Ndiyo,ila nadhani lugha ndiyo mtihaniHapo jamaa yupo msikitini.Kweli kuna watu ni wasema ukweli.