BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

Huyu mnyama anapitia manyanyaso ya kubaguliwa sana. Sijui alifanya kosa gani maskini.
 
Kuna mdau alileta uzu humu akitaka ukweli wa taarifa kuhusu mabucha ya nguruwe kupigwa marufuku mkoani Shinyanga. Tuitafute ile thread ndipo tuje tuilaumu bbc . Shinyanga iko Tanzania haiko ulaya
Habari hii ilikuwapo kwenye taarifa za habari jana 18/01, tatizo wengi humu hawasikilizi wala kuangalia taarifa za habari.
 
Kuwa positive ,, chukulia wamekosea na unawapa nafasi ya kujirekebisha.
Wamekuwa weledi kwa muda mrefu haka kakipande kamoja kasikufanye ukaona kama ndo mwisho wa bbc.

Angalia mafanikio waliyoyafikia.
 
Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Mataifa ya Africa yanajivuruga yenyewe. Anachokifanya museveni binadamu mwenye akili hawezi kufanya. Yakiharibika utaitaja BBC?
 
Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Hizo mainstream medias zimekaa ki propaganda na uzandiki, ndo mana Trump alikua anazidiss.
 
Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
Hawatuwezi,tumeshawashitukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…