Comment of the year!Watasema ndiyo maana jua limekuwa kali hivyo.
BBC bana.
[emoji1]wee Jamaa...Nimewapigia simu direct ili kuomba ufafanuzi, wamesema, kutoka na muda kuwa mdogo asubuhi, hiyo milioni iliyosahaulika wataimalizia kwenye matangazo ya jioni.
Pls mtoa-mada jaribu kuwa na subira, mambo ni mengi, muda ni kiduchu!
Bibi-sea mnawaonea bure wale watangazaji! Kutokana na ubobezi wao kwenye tasnia ya habari na mawasiliano, unaweza usitambue baadhi ya maneno because wanaongea lugha professional.Asante Mkuu! Kumbe na wewe umesikia, nilidhani ni mimi peke yangu.
Si kwamba wanadukuliwa?Sasa kwenye mitandao ya FB na website yao, waandishi wana makosa ya kutosha
Nami nimesikia hivyo hivyo, nikashikwa na bumbuwazi. Ila, akasema kulifikia, (nimesahau usafiri), utatumia miaka kadhaa!Pengine hukusikia vyema au kweli ilikuwa umesinzia.
Huenda walimanisha Million hizo kwenye namba ulizo taja.
Hapana mkuu ni makosa mengi ya kiuandishi nadhani anayeandika wua haproof-read.Si kwamba wanadukuliwa?
Yani kama Dar Moro mbele kidogo kwenda Gairo