BBC Swahili wadai umbali kati ya dunia na jua ni Kilomita 150

Assalamualaikum WanaJf.

Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.

Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).

Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.

Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
msamehe tu yaweza kuwa aliruka neno Million au pengine wewe hukusikia vizuri
 
Kwa iyo ina maana mvua ikitaka kunyesha inatoka izo tajwa
 
As noted earlier, Earth's average distance to the Sun is about 93 million miles (150 million kilometers)from the Sun. That's 1 AU.1 Feb 2020

So Kuna uwezekano alisahau kutaja hiyo millions au haukusikia. BBC hawawezi kukosea kizembe hivyo most likely haukusikia vizuri.
 
Assalamualaikum WanaJf.

Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.

Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).

Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.

Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Mkuu nami nimeshangaa sana yule mtangazaji sijui hajui kusoma!!!
 
Assalamualaikum WanaJf.

Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.

Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).

Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.

Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Huyu mtoto ana akili kuliko yule mtangazaji

1643033490560.png
 
Pengine hukusikia vyema au kweli ilikuwa umesinzia.
Huenda walimanisha Million hizo kwenye namba ulizo taja

Rejea:

Umbali kutoka jua hadi dunia
Umbali kutoka kwa jua hadi duniani ni kilomita milioni 150, katika mwanga wa mwaka na hauzidi dakika nane na sekunde moja ya mwanga.

Ikiwa ni gari linalosafiri kwa kilomita 100 kwa saa, na kusafiri bila mapumziko, basi jua linaweza kufikia marudio yake katika miaka 106.

Ikiwa ndege itasafiri kilomita 246,960 kwa saa, kuna uwezekano wa saa 606 au siku 25 kusafiri kutoka duniani hadi Jua.

Ndege gani ya kusafiri 246,960kmph? Kama ni passenger jets max ni 660mph/1021kmph.
 
msamehe tu yaweza kuwa aliruka neno Million au pengine wewe hukusikia vizuri
Sijui mna maana gani kusema 'asamehewe'? Au eti labda mimi sikusikia viziri?
Mimi sijasema aadhibiwe bali nimeonyesha ukosefu wa umakini Kwa matangazaji wa caliber ya BBC hatakiwi kusoma habari kama 'vuvuzela'.
 
Huwa naona watangazaji wengi duniani wakipata shida kusoma habari za kisayansi hasa zinazhitaji kusoma terminologies & numbers na vipimo tofauti tofauti (yard, cm, meter, futi, pound, Kgs) kwani unaona kabisa anavyo struggle; Si unajua hesabu ni janga la ulimwengu na sio kila kada inahitaji pass ya hesabu ili kuisomea....
 
Assalamualaikum WanaJf.

Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.

Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).

Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.

Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Hata mimi nilishangaa sana
 
Maamuzi yake yaheshimiwe .. pengine hao wengine walitudanganyaga
 
Assalamualaikum WanaJf.

Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.

Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).

Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.

Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Scientists sometimes call our region of space the "Goldilocks Zone" because it appears to be just right for life. As noted earlier, Earth's average distance to the Sun is about 93 million miles (150 million kilometers) from the Sun.1 Feb 2020
 
Bbc swahil sasa iv wamejaa wa kenya kibaooo kiukweli hata viswahil Wanavyo zungumza ni AIBU mara wachanganye kiss na engl yaan ni mvurugoooo

Simaanish ya kuwa hawafai, hapana ..ni wazi uongoz uliopo juu unajifanyiaa tu vitu

Ipo siku watakuja kuboronga zaidi

Back
Top Bottom