Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo uchangamkie fursa! A problem is an opportunity.Hapana mkuu ni makosa mengi ya kiuandishi nadhani anayeandika wua haproof-read.
Jamani mods, tunzeni hii komenti ya mwaka!Natoa RAI kwa BASATA wawafungie BBC kwa kueneza taarifa za taharuki
Kwani kakufunga mnyororo? Hujasikia: Kila mbuzi ale sawasawa na urefu wa kamba yake?Ni wazi huna kazi za kufanya sasa kama umeshagundua wamekosea siungerekebisha tu akilini mwako ukaachana nalo hadi ulete hunu?
Tuna mambo mengi ya kujadili,ovyooo!!
Hunijii upeo wangu. Lakini umeguswa na mada, kama ni sindano imekuingia. Pole sana, kwakuwa wala hujui uzito wa kazi ya utangazaji kama huyu asiyekuwa makini lakini anatetewa na baadhi ya wenzake katika fani yao!Bibi-sea mnawaonea bure wale watangazaji! Kutokana na ubobezi wao kwenye tasnia ya habari na mawasiliano, unaweza usitambue baadhi ya maneno because wanaongea lugha professional.
So, maneno mengine, nguli kama hawa huyameza ili kusave muda, kutumia energy kidogo na kuleta mvuto kwenye uwasilishaji wa matangazo yao.
Kwa hiyo, hilo ni jambo la kawaida sana, na ni shock inayotegemewa kwa wasikilizaji wao ambao ni amateurs wasio na experience ya kutosha, kama huyu mleta-mada!
Hata wewe si ungeufyata tu badala ya kujifanya umepotezewa muda!Ni wazi huna kazi za kufanya sasa kama umeshagundua wamekosea siungerekebisha tu akilini mwako ukaachana nalo hadi ulete hunu?
Tuna mambo mengi ya kujadili,ovyooo!!
Nimeogopa hata kuweka hapa nikidhani labda nilisikia vibayaAsante Mkuu! Kumbe na wewe umesikia, nilidhani ni mimi peke yangu.
150 million kilometersAssalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Assalamualaikum WanaJf.

Wamekua waongo kama serikali ya ccm.Assalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Upeo wako uko wazi kama mchana; angalia ulichoandika unaguyuguza tu!Hunijii upeo wangu. Lakini umeguswa na mada, kama ni sindano imekuingia. Pole sana, kwakuwa wala hujui uzito wa kazi ya utangazaji kama huyu asiyekuwa makini lakini anatetewa na baadhi ya wenzake katika fani yao!
Milion 150km.Assalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Itakuwa alisahau kumalizia neno millionNami nimesikia hivyo hivyo, nikashikwa na bumbuwazi. Ila, akasema kulifikia, (nimesahau usafiri), utatumia miaka kadhaa!
Hakusinzia ndugu hata mimi mwenyewe nilishangaa na alirudia kulitamka kama mara 2 hivi... Tuseme alisahau neno MILIONI..Pengine hukusikia vyema au kweli ilikuwa umesinzia.
Huenda walimanisha Million hizo kwenye namba ulizo taja
Rejea:
Umbali kutoka jua hadi dunia
Umbali kutoka kwa jua hadi duniani ni kilomita milioni 150, katika mwanga wa mwaka na hauzidi dakika nane na sekunde moja ya mwanga.
Ikiwa ni gari linalosafiri kwa kilomita 100 kwa saa, na kusafiri bila mapumziko, basi jua linaweza kufikia marudio yake katika miaka 106.
Ikiwa ndege itasafiri kilomita 246,960 kwa saa, kuna uwezekano wa saa 606 au siku 25 kusafiri kutoka duniani hadi Jua.