Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Sawa mkuu Ila hii nimetumia Google map kuanzia round about ya shekilango pale sababu hiyo njia inakuwa rahisi zaidi in terms of hours calculation pia . But it's okay mazee haina kwereNimehesabu toka Ubungo, ukiazia Faya pia ni sawa