BBC Swahili wadai umbali kati ya dunia na jua ni Kilomita 150

Ni wazi huna kazi za kufanya sasa kama umeshagundua wamekosea siungerekebisha tu akilini mwako ukaachana nalo hadi ulete hunu?

Tuna mambo mengi ya kujadili,ovyooo!!
Kwani kakufunga mnyororo? Hujasikia: Kila mbuzi ale sawasawa na urefu wa kamba yake?
 
Hunijii upeo wangu. Lakini umeguswa na mada, kama ni sindano imekuingia. Pole sana, kwakuwa wala hujui uzito wa kazi ya utangazaji kama huyu asiyekuwa makini lakini anatetewa na baadhi ya wenzake katika fani yao!
 
Ni wazi huna kazi za kufanya sasa kama umeshagundua wamekosea siungerekebisha tu akilini mwako ukaachana nalo hadi ulete hunu?

Tuna mambo mengi ya kujadili,ovyooo!!
Hata wewe si ungeufyata tu badala ya kujifanya umepotezewa muda!
 
Walitaja na nauli ya kwenda huko ni shilingi ngapi? 😁
 
150 million kilometers
 
Wamekua waongo kama serikali ya ccm.
 
Hunijii upeo wangu. Lakini umeguswa na mada, kama ni sindano imekuingia. Pole sana, kwakuwa wala hujui uzito wa kazi ya utangazaji kama huyu asiyekuwa makini lakini anatetewa na baadhi ya wenzake katika fani yao!
Upeo wako uko wazi kama mchana; angalia ulichoandika unaguyuguza tu!
 
Piga picha we upo Dar alafu jua lipo morogoro
 
Jamani,

wajapokuwa watangazaji wa BBC wale ni binadamu, sio malaika. Hiyo sio mwanzo na haitakuwa mwisho wa kukosea.
 
Milion 150km.
 
Kipindi jua linakuwa karibu na uso wa dunia huwa ni km milioni 149 na kipindi jua linakuwa mbali na uso wa dunia huwa ni km milioni 152. Ni makosa ambayo hutokea hata kwa mtaalam wa maswala ya unajimu au tafiti. Makosa hayo ni pindi anaeleza lakini sio kwenye maandishi
 
Hakusinzia ndugu hata mimi mwenyewe nilishangaa na alirudia kulitamka kama mara 2 hivi... Tuseme alisahau neno MILIONI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…