msamehe tu yaweza kuwa aliruka neno Million au pengine wewe hukusikia vizuriAssalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Kwa iyo ina maana mvua ikitaka kunyesha inatoka izo tajwaAssalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Mkuu Dar to Moro no kilometers 186 .Yani kama Dar Moro mbele kidogo kwenda Gairo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atakuwa mkenya huyo wanajifanya wajuaji halafu hamna kitu
Mkuu nami nimeshangaa sana yule mtangazaji sijui hajui kusoma!!!Assalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Huyu mtoto ana akili kuliko yule mtangazajiAssalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Pengine hukusikia vyema au kweli ilikuwa umesinzia.
Huenda walimanisha Million hizo kwenye namba ulizo taja
Rejea:
Umbali kutoka jua hadi dunia
Umbali kutoka kwa jua hadi duniani ni kilomita milioni 150, katika mwanga wa mwaka na hauzidi dakika nane na sekunde moja ya mwanga.
Ikiwa ni gari linalosafiri kwa kilomita 100 kwa saa, na kusafiri bila mapumziko, basi jua linaweza kufikia marudio yake katika miaka 106.
Ikiwa ndege itasafiri kilomita 246,960 kwa saa, kuna uwezekano wa saa 606 au siku 25 kusafiri kutoka duniani hadi Jua.
Sijui mna maana gani kusema 'asamehewe'? Au eti labda mimi sikusikia viziri?msamehe tu yaweza kuwa aliruka neno Million au pengine wewe hukusikia vizuri
Hata mimi nilishangaa sanaAssalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
Scientists sometimes call our region of space the "Goldilocks Zone" because it appears to be just right for life. As noted earlier, Earth's average distance to the Sun is about 93 million miles (150 million kilometers) from the Sun.1 Feb 2020Assalamualaikum WanaJf.
Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto.
Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara kadhaa! Na mpaka mwisho wa kipindi chake hewani hakusahihisha usemi wake.
Hivi BBC nayo imeshakuwa radio mbao?
dar moro ni 198Yani kama Dar Moro mbele kidogo kwenda Gairo
Nimehesabu toka Ubungo, ukiazia Faya pia ni sawaMkuu Dar to Moro no kilometers 186 .
MilioniOditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150).
Assalamualaikum WanaJf.