Je hayo makubaliano ya 2019 yanaafya kwa ustawi wa uchumi wetu ?Nimemsikiliza Zuhura Yanus, BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tuu, ule uliosainiwa Ikulu 2019!.
Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tuu.
BBC Swahili Iache Uongo!.
NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa na ZZK, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa.
Tulisaidia kufafanua
P
Siku ukiyaona unipmDah!kwa hyo kumbe mambo ni yale yale,lakin ni vizuri zaidi haya makubaliano na sisi wananchi tuyaone tena kwa kiswahili
Kama hujapata Noah usiipigie kura CCM.Ina maana zile Noah zetu ndio hivyo tena.
Yes ni mazuri, tulikuwa tunamiliki nothing, sasa tunamiliki 16% stake!.Je hayo makubaliano ya 2019 yanaafya kwa ustawi wa uchumi wetu ?
Au ndio waliahidi kuchangia kampeni za ccm kama alivyosema late Big Ben alivyoingizwa chaka 2000
Hata ukisikilzia mikutano ya kampeni utagundua kuwa Lisu anafuatilia sana mambo ya sheria hivyo Mara nyingi tunapigwa kwa sababu watawala wentu hawafuatilii sana sheria labda kutokana na Kinge kimekua na misamiati mingi sana.Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
Bora mkuu Paskal umekuja maana natumaini nitapata kitu hapa,kwa hyo mkuu sisi wananchi wa kawaida wa huku Runzewe,Mwendakulima,Msonga mpaka Kabagole tuamini kuwa makubaliano ni mazuri tusiwasikilizw hawa mabeberu,alafu na hili suala la kesi ikitokea ifunguliwe mahakama za nje na pia benki zitumike za nje pamoja na makinikia kuyachukua tena,hakuna shida hapo mkuu?Yes ni mazuri, tulikuwa tunamiliki nothing, sasa tunamiliki 16% stake!.
Tutagawana manufaa ya Kiuchumi 50/50.
That is good !.
P
Nilisikiliza taarifa yote ya habari...na mchambuzi huyu wa Chadema...very stupid indeed...BBC wamefanya hivyo makusudi kwa kumleta anayejiita mchambuzi kutoka Chadema..ni mkakati wa kampeni za Chadema
Wewe uliona wapi ccm waandike mikataba kwa maslahi ya watz,migodi iliuzwa miaka hiyo kilicho baki awamu hii ni kuongopea tu kua tuna asilimia zetuWakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
Hapo kwenye manufaa ya kiuchumi ya 50/50 ndipo tunahitaji ufafanuzi. Iweje tuwe na hisa ya 16% tupate manufaa ya kiuchumi ya 50/50?Yes ni mazuri, tulikuwa tunamiliki nothing, sasa tunamiliki 16% stake!.
Tutagawana manufaa ya Kiuchumi 50/50.
That is good !.
P
Nimemsikiliza Zuhura Yanus, BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tuu, ule uliosainiwa Ikulu 2019!.
Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tuu.
BBC Swahili Iache Uongo!.
NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa na ZZK, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa.
Tulisaidia kufafanua
Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
P
Hapo kwenye manufaa ya kiuchumi ya 50/50 ndipo tunahitaji ufafanuzi. Iweje tuwe na hisa ya 16% tupate manufaa ya kiuchumi ya 50/50?
Mkuu unaweza kutuwekea vivid evidence hapa tusome au umehadhiwa na Profesa wa jalalani?Yes ni mazuri, tulikuwa tunamiliki nothing, sasa tunamiliki 16% stake!.
Tutagawana manufaa ya Kiuchumi 50/50.
That is good !.
P
Kwa hiyo wewe unahis ujapigwa?? Kingekua mabeberu wanakitumia ungeona hiyo habari.. ukweli ni kwamba icho ni miongoni mwa chombo ambacho kinafanya kazi kwa uweledi wa hali ya juu bila kujali ushabiki wa chama bali ni kwa maendelea ya nchi na ukweli wa mambo.. . Watanzania tuache ushabiki wa vyama sio kabila tuwe na ushabiki na taifa letu la TanzaniaWakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
Ukweli ni upi? Mbona mnataka kuwafanya watu Kama watoto wadogo?! Unadhani watu hawafahamu kwanini mahojiano hayo yamefanyika wakati huu wa uchaguzi ?!Na kwanini huyo Zuhura Yunus asiweze kubalance stori kwa kumleta mtu wa madini kutoka serikalini? Unadhani watu hawajui lengo la mabeberu kwa kutumia media BBC Swahili kipindi hiki? Huyo Zuhura hamnazo Kama ilivyo kwa kijana yule aliyekuwa akihojiwa na aliyejiita mchambuzi...hiyo BBC Swahili ilileta hoja hiyo ya madini kipindi hiki Cha uchaguzi makusudi..stupid BBC...That is not professionalism...Kwa hyo mkuu hii habari sio kweli ni mipango ya mabeberu tu?