Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
Hata maandamano yaliyofanywa na Chadema walisema hawajaandamana kabisa wakati siku hiyo kule Musoma waliandamana! BBC imeshakuwa TBC!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dotto Bulendu yuko fit sana! Sijui kwa nini bado yuko pale alipo!
Ma-CCM bhana kwa kuchakachua!!!! Hadi wameichakachua BBC !!!!!
Dotto Bulendu hata mimi namkubali kabisa.Huyu jamaa ni hazina kubwa sana ya Tasnia ya habari.Anakwazwa na chombo alichopo maana mmiliki wake ni Mwenyekiti wa Magamba mkoa wa Mwanza.
huwa sipendi kukikosa kipindi chake cha "jicho letu ndani ya habari" ingawa siku zingine hukaribisha watu wasio na uelewa wa mambo!
mi mwenyewe nimejiuliza sana hili jamboWadau,
Tangu upigaji kura wa rasimu ya katiba kuanza, nimegundua kuna hivi vyombo viwili vya habari vya kimataifa (Radio) vimekua na misimamo tofauti. Huku DW ikituhabarisha kile kinachoendelea Dodoma kinagaubaga ikiwa ni pamoja na vitisho walivyopewa baadhi ya wajumbe waliopiga kura za Hapana, hali imekuwa tofauti kwa BBC ambao hawariporti kabisa kuhusu BMK! Je pengine BBC wametishwa kwa vile baadhi ya matangazo yao yamehamishiwa DSM? Source ni mimi mwenyewe ninayefuatilia matangazo yao kwa ukaribu!
Pia DW ina wazanzibar wengi ambao kimsingi ni wadadisi wa mambo
mi mwenyewe nimejiuliza sana hili jambo
hivi mnajua hata Yule salma said aliyepiga kura ya hapana ni correspondent ama reporter wa dw?
haka kadada nimemwambia Pasco anipe mawasiliano yake lakini kimyaSikulijua hilo! Ila nilijiuliza wakati akihojiwa, jinsi anavyojibu maswali na maelezo anayotoa kiufasaha tofauti na wajumbe wengine "wana si hasa" ana weledi wa hali ya juu! Heko Salma!
From tomorrow onwards nitakua member mwaminifu wa DW
Na mimi huwa nashangaa BBC ya leo, hakuna habari ya maana inayorushwa toka Tanzania! Kimekuwa ni chombo cha propaganda cha "wenye imani kali"- Fuatilieni kwa makini mtagundua ukweli.
Mkuu Chikutente, hicho kimya changu ndio kukusaidia kwenyewe!, kwanza mwenyewe ni member humu jf, kisha ana kaka zake humu jf, ni wakali kuliko pilipili, mmoja wao ni muuza utumbo, akipita tuu nyuma anafuatiwa na lundo la mainzi, yanazonga hayo!. Niulize mwenzio yaliishanikuta!, usiombee!.haka kadada nimemwambia Pasco anipe mawasiliano yake lakini kimya