BBC vs DW kuhusu Bunge Maalum la Katiba (BMK)

BBC vs DW kuhusu Bunge Maalum la Katiba (BMK)

Hii bbc bado ipo? Tangu aingizwe kayanda nilijua imebinafsishwa na tbccm

Nami nahisi tangu wahamie DSM, imebinafsishwa! Sio BBC niliyoifahamu kabla! Kwao habari ni Al Shabab, Boko Hram, Ebola na ISIS
 
BBC hawa toka wameenda kina arnold kayanda.regina mwalekwa, baruani mwahuza imegeuka TBC na wapongaalia hawa watangazaji wataifanya BBC ionekane kama radio mbao
 
​BBC mpo! Lawama ndio hizo kuwa mnaripoti tofauti na weledi wenu wa zamani. For the first time nimesikia mmeitwa makanjanja. Hasa hao watu wapya.

Naamini wanapita humu. Ujumbe umewafikia. Wajirekebishe.
 
Tusikimbilie kuwalaumu labda masharti waliyopewa ndo hayo au kureport kinyume ila wao wameona ni bora kutoreport kabisa kuliko kureport uongo
 
Nami nahisi tangu wahamie DSM, imebinafsishwa! Sio BBC niliyoifahamu kabla! Kwao habari ni Al Shabab, Boko Hram, Ebola na ISIS

Kweli kabisa,wamebakiza habari za kisa na mkasa,hata kama hawana nauli ya kuwaleta dodoma,hata televisheni hawaangalii wakati linarushwa live? Vyuo vikuu vipo vingi lakini hata kuwahoji wahadhiri hapana,wakati wako uingereza walikuwa bize na akina lwaitama,wamehamishiwa bongo ni kimya, hivi anold kayanda aliyezoea kumuhoji juma nature atamuhoji rais wa nchi gani? Labda wa TFF, hata mwalekwa pale hapamtoshi, ni mara ya kwanza bbc inakuwa na mwandishi darasa la saba, mc wa kitchen party,labda wamchukue yule jamaa wa star tv dotto bulendu, he is a journalist heavyweight enough for the job,anaweza hata kuandaa kipindi cha review ya magazeti ya africa na ulaya
 
Nilikuwa ninawaamini sana BBC, ila vile sijasikia wakiripoti kile kinachoendelea Dodoma siku za hivi karibuni, kweli siwaamini tena!
wewe waamini mbowe slaa na lissu ni redio tosha...aah nimesahau na lema yule mbunge wa arusha.
 
Tusikimbilie kuwalaumu labda masharti waliyopewa ndo hayo au kureport kinyume ila wao wameona ni bora kutoreport kabisa kuliko kureport uongo

Vinginevyo wana political aspiration au ni waajiriwa wa wangoa kucha au wanawaogopa wang'oa kucha wasiwadake wakiwa wanarudi nyumbani baada wa kutoa taarifa nyeti,si unajua tena wako hapa hapa dsm
 
Nimewahi fanyiwa mahojiano na BBC kuhusu tatizo flani hapa nchini,siku mahojiano yalipo rushwa hewani zile points zenye ukweli mchungu kwa serikali waka edit na kubakiza supporting points tu.
Nilichukia sana.
 
BBC kila taarifa ni Kenya tu. Tumeacha hata kuiangalia. Hakuna taarifa za Tanzania. Wapelekeeni Wakenya au waingereza TV yenu. Salm umetuangusha sana.

Huyu Salimu nadhani na yeye Mahakama ya Kadhi si inamuhusu?. Au huyu nae ni Sheikh Jongo?.
 
Vinginevyo wana political aspiration au ni waajiriwa wa wangoa kucha au wanawaogopa wang'oa kucha wasiwadake wakiwa wanarudi nyumbani baada wa kutoa taarifa nyeti,si unajua tena wako hapa hapa dsm

Kweli kabisa! Tangu wahamie DSM ideology ya hii radio imebadilika sana kwa kuwafeva watawala!
 
Nimewahi fanyiwa mahojiano na BBC kuhusu tatizo flani hapa nchini,siku mahojiano yalipo rushwa hewani zile points zenye ukweli mchungu kwa serikali waka edit na kubakiza supporting points tu.
Nilichukia sana.

Pole sana upendodaima... Makanjanja wamekuwa wengi sana kwenye hii radio! Upeo wao wa mambo ni mdogo sana! Siitofautishi na clouds au TBC!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa,wamebakiza habari za kisa na mkasa,hata kama hawana nauli ya kuwaleta dodoma,hata televisheni hawaangalii wakati linarushwa live? Vyuo vikuu vipo vingi lakini hata kuwahoji wahadhiri hapana,wakati wako uingereza walikuwa bize na akina lwaitama,wamehamishiwa bongo ni kimya, hivi anold kayanda aliyezoea kumuhoji juma nature atamuhoji rais wa nchi gani? Labda wa TFF, hata mwalekwa pale hapamtoshi, ni mara ya kwanza bbc inakuwa na mwandishi darasa la saba, mc wa kitchen party,labda wamchukue yule jamaa wa star tv dotto bulendu, he is a journalist heavyweight enough for the job,anaweza hata kuandaa kipindi cha review ya magazeti ya africa na ulaya

Dotto Bulendu yuko fit sana! Sijui kwa nini bado yuko pale alipo!
 
??? Sheikh jongoo,

Mshikaji amelia bungeni akikumbuka mshiko anao upata kwamba unamtoa si haba. Akamua mtajua wenyewe na dini yenu mimi angalau nitakua nauhakika wa Usupu. Nikifa huko ndio nitajua nitafanyaje! Tehe! tehe! Amakweli adui yako Muuombee njaa. Atakaa tu.
 
Wadau,
Tangu upigaji kura wa rasimu ya katiba kuanza, nimegundua kuna hivi vyombo viwili vya habari vya kimataifa (Radio) vimekua na misimamo tofauti. Huku DW ikituhabarisha kile kinachoendelea Dodoma kinagaubaga ikiwa ni pamoja na vitisho walivyopewa baadhi ya wajumbe waliopiga kura za Hapana, hali imekuwa tofauti kwa BBC ambao hawariporti kabisa kuhusu BMK! Je pengine BBC wametishwa kwa vile baadhi ya matangazo yao yamehamishiwa DSM? Source ni mimi mwenyewe ninayefuatilia matangazo yao kwa ukaribu!

BBC waandishi wake wengine ni wale waliokuwa CLOUDS
 
Regina Mziwanda, Mhuza na wengine wako Bongo wameshuhidia Kibanda aking'olewa Kucha, Unategemea nini?
SIKU HIZI BBC Kama Uhuru FM
 
Kweli hawa wanaogopa kung'olewa kucha! Si umesikia kilichompata AG wa Zanzibar? Hii nchi si salama tena! Hawa BBC wangebaki Nairobi tu!
 
BBC swahili tofauti na BBC ki english wamepoteza mvuto kabisa. Compromised? Sijui.
 
Back
Top Bottom