BBC vs DW kuhusu Bunge Maalum la Katiba (BMK)

Haya mkuu falsafa hii nimeielewa, ila kaka wapika utumbo wajue huwezi kuwa na wivu wa kimapenzi kwa dada
 


Nani anaweza kuitisha BBC , utatisha na nini
 
Kila siku huwa nasema BBC ipo Africa kwa ajili ya Kenya mijitu inapinga! Wenye akili tulishaipotezea siku nyingi sana!
 
big up ITV SAFI YANI MTU UNAWEZA sema labda ndo television ya taifa kumbe wapi sasa hivi inaelezea maswala ya katiba mpaka raha 79% ya watanzania wachache kwenye kipima joto wamesema hapana. na kile aliepiga simu kuchangia ana akili kuliko hao wapuuuzi waliokushanyika na kula kodi zetu bungeni
 
KUMBE DIASPORA NI WANIGERIA, NA AKINA PASKALI WALIOALIKWA NA CCM , KAZI IPO πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Mkuu Gavana, diaspora ni kwa Watanzania wote waishio nje ya nchi wakiwemo wanafunzi. Kila nchi ina diaspora wake, hivyo hata Wanigeria wana diaspora wao, na Watanzania waishio Nigeria, wakiwemo Watanzania waliochukua uraia wa Nigeria ni diaspora wetu.

Mimi sikualikwa na CCM, sababu diaspora sio shughuli ya CCM.

Tufike mahali tutofautishe kati ya CCM na serikali hata kama serikali hiyo ni serikali ya CCM!.

Paskali
 


DIASPORA ; WATANZANIA WALIOCHUKUWA URAIA WA NIGERIA TEHTEHTEGHHHHHH πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› BOKO HARAM ?????

KAZI MNAYO MAKADA WA CCM
 
DIASPORA ; WATANZANIA WALIOCHUKUWA URAIA WA NIGERIA TEHTEHTEGHHHHHH πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› BOKO HARAM ?????

KAZI MNAYO MAKADA WA CCM
Kama tumewapa tumewapa uraia Al-Qaeda, Taliban na IS, why not Boko Haram?.

Mtu ukiunga sera nzuri za chama fulani ndio unageuka kada?. Paskali leo kawa kada wa CCM kwa sababu tuu ya kuunga mkono Diaspora?!.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…