Haya mambo aongee na Watoto wenzake, Mike Mhagama ndio mtunzi wa neno Bongo Fleva Radio one.Amani iwe kwenu wakuu
Kuna member wa jamiiforum aitwaye screpa alileta uzi kumhusu msanii dully skys naona leo BBC wamepita nao kiaina
Soma pia: Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye Mwanzilishi wa Bongofleva?
Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.Haya mambo aongee na Watoto wenzake, Mike Mhagama ndio mtunzi wa neno Bongo Fleva Radio one.
Mwaka 1992 huyo Abdallah Sykes alikuwa na miaka mingapi?Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi cha kina Adili Kumbuka, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Pascal leo umenena kitu uzima aise.Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi cha kina Adili Kumbuka, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Ukiwa RTD nilikuwa Secondary school,Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby na OPP wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi Cha Kwanza Unit, cha kina Adili Kumbuka, hata Balozi Dola Soul, 2Proud, na Soggy Doggy walianza zamani, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
👍Hadi miaka ya 1990 muziki uliokua unapigwa zaidi na wanamuziki wa kitamzania ilikua ni
Dansi
Taarabu
Muziki wa asili
Na band zilizokua zinagonga copy
Hadi kufika 1993 vinaja wengi wakaanza kujitokeza kufanya muziki kwa kuiga zaidi mahadhi ya muziki wa kimarekani yaani Rap na rnb pamoja na raggae
Na hii ilichagizwa zaidi na Saleh Jabir alipo tembea na beat za ice ice baby na kuweka maneno ya kiswahili
1994 Radio One ikaanzishwa na ikaanza kupiga kwa wingi nyimbo hizo, na hapo ndipo jina rasmi la BONGO FLEVA likazaliwa ndani ya kipindi maarufu enzi hizo kikiwa chini ya Taji Liundi na Mike Muhagama....... hawa ndio waanzilishi wa Jina BONGO FLEVA wakimaanisha muziki wa kitanzania wenye mahadhi ya kimarekani bila kujali kama ni Hip hop au rnb au raggae as long as uliimbwa na watanzania
Hadi kufikia mwishoni ya 90 wasanii wa hip hop hawakupendezwa na jina la Bongo fleva ila waimbaji waliokua wanafuata mahadhi yaki RNB wao walikubaliana na jina hilo na hapo ndio Dully anapoingia
Wana hip hop waliwaona waimbaji kama mabishoo fulani hivi wakati wenyewe ni wagumu flani hivi....... Dully ubishoo hakuuonea aibu aliubeba na kujisifia sana kwa ubishoo lakini sio kwamba yeye ndio muanzilishi wa Bongo fleva
So Baada ya Bongo fleva na hip hop kuanza kutenganishwa kwa upande wa Bongo fleva(waimbaji)Dully alikua kwenye pick yake na alikua anafanya vizuri sana, na ikumbukwe kwamba waimbaji walikua wachache kuliko wana hip hop
Wapo waimbaji walioanza kabla ya Dully kama Unique Sisters, Mr Paul na wengine siwakumbuki
Saleh jabir anastahili ,alifanya huo mziki kitambo tuKwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby na OPP wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi Cha Kwanza Unit, cha kina Adili Kumbuka, hata Balozi Dola Soul, 2Proud, na Soggy Doggy walianza zamani, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Vijana wa 2000 hawawezi kuelewa hii.Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby na OPP wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi Cha Kwanza Unit, cha kina Adili Kumbuka, hata Balozi Dola Soul, 2Proud, na Soggy Doggy walianza zamani, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Mzee Pascal shkamoo.Kwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby na OPP wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi Cha Kwanza Unit, cha kina Adili Kumbuka, hata Balozi Dola Soul, 2Proud, na Soggy Doggy walianza zamani, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Dola "Balozi" Soul.Wengi walikuepo
Sasa hivi wako wapi wako wapi
Balozi Bado nipo
Ninapanda kwenye chati kwenye chati
Nashuka Ile Ile
Ile Moja namba nataman
Sijui nani aliimba ila nilikua napenda kusikia hii chorous
Wengi walikuepo
Sasa hivi wako wapi wako wapi
Balozi Bado nipo
Ninapanda kwenye chati kwenye chati
Nashuka Ile Ile
Ile Moja namba nataman
Sijui nani aliimba ila nilikua napenda kusikia hii chorous
Nilikua napenda sana kuskiliza hapoDola "Balozi" Soul.
Uhalisia Saleh Jabir alikuwa anacopy, Kwanza Unit ndio walianza Bongo fleva na kitu chao wenyewe kwa kiswahili.Saleh jabir anastahili ,alifanya huo mziki kitambo tu
Ile beat aliyotumia ina vibe kubwa, inafanana na beat ya nyimbo ya Still ya Dr Dre.Nilikua napenda sana kuskiliza hapo