Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Swahiba upoSaleh jabir anastahili ,alifanya huo mziki kitambo tu
Kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swahiba upoSaleh jabir anastahili ,alifanya huo mziki kitambo tu
Uko sahihii ,ila KU walikuja na verse zao, kulikua naUhalisia Saleh Jabir alikuwa anacopy, Kwanza Unit ndio walianza Bongo fleva na kitu chao wenyewe kwa kiswahili.
Swahiba nipo , Majukumu Swahiba yalinifichaSwahiba upo
Kitambo sana
Daz Nundaz...Hadi miaka ya 1990 muziki uliokua unapigwa zaidi na wanamuziki wa kitamzania ilikua ni
Dansi
Taarabu
Muziki wa asili
Na band zilizokua zinagonga copy
Hadi kufika 1993 vinaja wengi wakaanza kujitokeza kufanya muziki kwa kuiga zaidi mahadhi ya muziki wa kimarekani yaani Rap na rnb pamoja na raggae
Na hii ilichagizwa zaidi na Saleh Jabir alipo tembea na beat za ice ice baby na kuweka maneno ya kiswahili
1994 Radio One ikaanzishwa na ikaanza kupiga kwa wingi nyimbo hizo, na hapo ndipo jina rasmi la BONGO FLEVA likazaliwa ndani ya kipindi maarufu enzi hizo kikiwa chini ya Taji Liundi na Mike Muhagama....... hawa ndio waanzilishi wa Jina BONGO FLEVA wakimaanisha muziki wa kitanzania wenye mahadhi ya kimarekani bila kujali kama ni Hip hop au rnb au raggae as long as uliimbwa na watanzania
Hadi kufikia mwishoni ya 90 wasanii wa hip hop hawakupendezwa na jina la Bongo fleva ila waimbaji waliokua wanafuata mahadhi yaki RNB wao walikubaliana na jina hilo na hapo ndio Dully anapoingia
Wana hip hop waliwaona waimbaji kama mabishoo fulani hivi wakati wenyewe ni wagumu flani hivi....... Dully ubishoo hakuuonea aibu aliubeba na kujisifia sana kwa ubishoo lakini sio kwamba yeye ndio muanzilishi wa Bongo fleva
So Baada ya Bongo fleva na hip hop kuanza kutenganishwa kwa upande wa Bongo fleva(waimbaji)Dully alikua kwenye pick yake na alikua anafanya vizuri sana, na ikumbukwe kwamba waimbaji walikua wachache kuliko wana hip hop
Wapo waimbaji walioanza kabla ya Dully kama Unique Sisters, Mr Paul na wengine siwakumbuki
Duh na dully skys yeye kaanza kuimba mwaka ganiKwani issue ni mwanzilishi wa neno Bongo fleva au mwanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva?.
Nikiwa RTD mwaka 1992 nimepiga wimbo wa ICE ICE Baby na OPP wa Saleh Jabir, wakaja kina Ramsey na kikundi Cha Kwanza Unit, cha kina Adili Kumbuka, hata Balozi Dola Soul, 2Proud, na Soggy Doggy walianza zamani, Radio One imeanzishwa 1994!.
P
Kwahiyo jina bongo fleva lilianza kabla ya wasanii hawajaanza kuimba bongo fleva?Ukiwa RTD nilikuwa Secondary school,
Naelewa vizuri tangu Kim and boys kwenye Yo Rap Bonanza.
Hapa hoja nataka ieleweke kwanza hapakuwa na Bongo Fleva kama jina.
Wakati wa mashindano ya Rap Taifa pale Avalon nilikuwepo hata huyo To Proud hakuwa mshiriki alifanya show tu na single yake ya siku yangu, maana hakuwa na kundi by that time Sugu alikuwa hajajiunga na DPT la kina Dola Soul Balozi.
Wabheja mayuHadi miaka ya 1990 muziki uliokua unapigwa zaidi na wanamuziki wa kitamzania ilikua ni
Dansi
Taarabu
Muziki wa asili
Na band zilizokua zinagonga copy
Hadi kufika 1993 vinaja wengi wakaanza kujitokeza kufanya muziki kwa kuiga zaidi mahadhi ya muziki wa kimarekani yaani Rap na rnb pamoja na raggae
Na hii ilichagizwa zaidi na Saleh Jabir alipo tembea na beat za ice ice baby na kuweka maneno ya kiswahili
1994 Radio One ikaanzishwa na ikaanza kupiga kwa wingi nyimbo hizo, na hapo ndipo jina rasmi la BONGO FLEVA likazaliwa ndani ya kipindi maarufu enzi hizo kikiwa chini ya Taji Liundi na Mike Muhagama....... hawa ndio waanzilishi wa Jina BONGO FLEVA wakimaanisha muziki wa kitanzania wenye mahadhi ya kimarekani bila kujali kama ni Hip hop au rnb au raggae as long as uliimbwa na watanzania
Hadi kufikia mwishoni ya 90 wasanii wa hip hop hawakupendezwa na jina la Bongo fleva ila waimbaji waliokua wanafuata mahadhi yaki RNB wao walikubaliana na jina hilo na hapo ndio Dully anapoingia
Wana hip hop waliwaona waimbaji kama mabishoo fulani hivi wakati wenyewe ni wagumu flani hivi....... Dully ubishoo hakuuonea aibu aliubeba na kujisifia sana kwa ubishoo lakini sio kwamba yeye ndio muanzilishi wa Bongo fleva
So Baada ya Bongo fleva na hip hop kuanza kutenganishwa kwa upande wa Bongo fleva(waimbaji)Dully alikua kwenye pick yake na alikua anafanya vizuri sana, na ikumbukwe kwamba waimbaji walikua wachache kuliko wana hip hop
Wapo waimbaji walioanza kabla ya Dully kama Unique Sisters, Mr Paul na wengine siwakumbuki
Mabaga fresh tunataabika tunasurubika AAA kufa na kuzikwa hapa hapa tunapigikaa hapa hapaVijana wa 2000 hawawezi kuelewa hii.
Watakuuliza 2proud ndio nani au Adili ni yupi huyu na Balozi je!
TwoProud na ile shauriTanga.
Walikuwepo HBC.
Mtu hafahamu hata kuhusu Solid ground family atajua nini kuhusu Saleh Jabri?
Gangwe Mobb....
Manduli Mobb
University corner...
Mabaga fresh..
Hivi Mark D yupo?
Mad I've je
Kitambo unyamwezini, mi nimeondoka halafu Dola akanikuta alivyokuja New York City.Kabla hujapaa mambele bado upo mitaa yako ya samora posta au kitambo unyamwezini?
Wakina Mike mhagama walipoanza kupiga huu mziki radio one hata dully alikuwa hajaanza kuimbaKwahiyo jina bongo fleva lilianza kabla ya wasanii hawajaanza kuimba bongo fleva?
Dar young mob,wagume weusi asilia,mac muga,nigaz 2 public,deplomatz, kwanza unit, mawingu band list nyingine nmesahau hapo dully bado sanaWalikuwa wanapiga mziki wa akina nani?
Tafuta $5000 nikupatie working visa ya US.Dah ubalikiwe sana sisi huku New York City tunaitizama kwenye mapicha tu mpaka leo hatuna kabisa ujanja wa kufika huko