BBC wachakachua uzi wa mwana JamiiForums

Uhalisia Saleh Jabir alikuwa anacopy, Kwanza Unit ndio walianza Bongo fleva na kitu chao wenyewe kwa kiswahili.
Uko sahihii ,ila KU walikuja na verse zao, kulikua na
KU Crew...watoto wa Oysterbay ,Masaki na Tanesco
,Wagumu Weusi Asilia...watoto wa sinza na kijitonyama
.Dar Young Mob ....Watoto wa Mikocheni B ,TPDC
 
Daz Nundaz...
 
Duh na dully skys yeye kaanza kuimba mwaka gani
 
Kwahiyo jina bongo fleva lilianza kabla ya wasanii hawajaanza kuimba bongo fleva?
 
Wabheja mayu
 
Mabaga fresh tunataabika tunasurubika AAA kufa na kuzikwa hapa hapa tunapigikaa hapa hapa

Bro umenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…