BBC wachakachua uzi wa mwana JamiiForums

Mimi bado nilikuwa nanyonyaga maziwa.
 
mkumbuke dully alikuja in the late alikuta hao wakongwe wapo kwenye game. Mi binafsi sijui aliyeanzisha neno BONGO FLAVOUR ila naona labda ilikuwa ni kuutofautisha muziki huo na ule wa kimarekani kwa kuwa midundo yake ilifanana na miondoko ya huko. Ndio kwanza ulikuwa muziki mpya kuimbwa tanzania na kupokewa vema huku muziki wa dansi na mingine ukiwekwa kando. Pia uliitwa muziki wa kizazi kipya
 
Hili la watu/taasisi kuruka na nyuzi/comments/misemo/maneno toka humu ni la kawaida sana. Ukiandika kitu/neno/sentensi/msamiati atasoma mtu na utakuja kuusikia kwa mtu mwingine akiandika au kuongea, tena utamsikia kigogo mzito akitumia msamiati uliouandika humu, huwa nashangaa sana kumbe watu wengi wanapitia nyuzi na komenti humu wanapata idea
 
Aliyeanzisha neno bongo flavor no Mike mhagama

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…