BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

Jambo la kwanza ungetafuta vigezo vilivyotumika na namna ya vilivyotumika kupima uwezo wa kijeshi!
 
Kwani wewe unaona ni la ngapi? Ili kuwa na jeshi la kisasa unahitaji:
elimu
uchumi bora
vinginevyo ni kutaka sifa tu.
 
Mbona kama wametupendelea!!! Tulitakiwa kuwa sawiya na Malawi au Chad
Wanapo zungumzia Jeshi, wanajumuisha na Polisi. Sasa wewe fikiria “polisi wetu” ndio utajua hata hiyo 23 ni upendeleo😀😀😅
 
Wataalamu wanaangalia bajeti inayotengwa kwa ajili ya jeshi, vile vile vifaa ambavyo jeshi inavyo- Madege ya kivita, vifaru, manowari, na idadi ya wanajeshi wenyewe. Hapa hawatazami nidhamu.
 
Hawa DRC ambao SADC yote imebidi ikawasaidie kudhibiti vikundi vya uasi ndo wanasemwa wana jeshi imara haya ni maajabu.

Ila jeshi letu kuwa nafasi hiyo sipingi.

wasikiage waasi humu jamiiforums ila usiombe nchi yako ikaingiliwa na huo ugonjwa
 
Nyerere alishawahi sema kuwa jeshi letu ni the most politicized institution in Tanzania, tena walilifanya liwe hivyo kwa makusudi kabisa. Mpaka leo liko hivyo, halijabadilika.
Nyerere kuna kipindi sijui alikuwa anaweka bangi kidogo,nakumbuka kuna wakati aliropoka kuwa katiba ya Tz inampatia haki ya kuwa dikteta endapo akiamua
 
Tunaomba Ka link Ka hiyo ripoti tukaichukue tuipeleke kwa Msigwa awafungie Hawa BBC wamekiuka maadili na hawana weledi kabisa Sisi ndio wababe wa East Africa na kati
 
Tafiti hupingwa kwa tafiti mkuu ingia na wewe chimbo uje na utafiti wako kuupinga wao
Vitu kama hivi vinahitaji tupewe kwanza Criteria, what if wanapima uimara kwa idadi ya mashoga ndani ya jeshi? Sasa unataka uwe namba 1 kwa kigezo kama hicho? Tupewe kwanza vigezo ndio tuanze kubishana humu
 
Tafuta mahali ule mchemsho nakulipia!!!
Watz ni malimbukeni wanalipaisha jeshi lao kuliko LA marekani
 
Wanatumwa kufagia siku ya matukio ya wapinzani
 
Huo ndio ukweli wenyewe jeshi halijawejeza katika vifaa vya kisasa kama droni ,tracking sotwear,tumekalia kulicruit wanajesgi wajaze misuli ,we have to invest more on ICT tools

sent from HUAWEI
 
hapa kwetu wameshajaribu zaidi ya mara 5 na wameshindwa.

tofautisha waasi na magaidi , waas hutokana na wapiganaji wa ndani ila magaidi hauangalii mipaka , hapa bongo kumewai kutokea viashiria vya uasi vilidhibitiwa sababu havikuwa na mipango mikakati mizuri ila pia ilikuwa zamani sana ila hv karibuni kumekuwepo viashiria vya ugaidi ila havikuwa na miziz imara ila subir muda utaongea boss
 
Ni rahisi tu kuitwa jeshi bora! Nunua vifaa na silaha zao za kivita kwa wingi na kwa budget kubwa! Kesho tu unaipita Egypt!!
 
Unaepinga njoo na ushahidi wako, au unapoona wakipasuliana mawe vifuani unahesabu ndio ubora wa jeshi? 😄
 
hii siyo ajabu ndugu yangu.kwani mbona tunaambiwa Tanzania ni kisiwa cha amani lakini ni jambo la kushangaza kwenye listi ya nchi 50 zenye amani dunianiTanzania haipo .Tuendelee kuishi kwa matumaini
 
Nipo Hapa Omurushaka Haa Haa
Najua Una Mengi Sana Unayoyajua
Nikifika Murongo Unakuwa Umeweka Mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…