Nilikushangaa ulivyoshuka habari za Ethiopia na Tigray. Hili la Marekani na Afghanistani umesema uongo. Marekani na washirika wake walienda kupigana vita vya kuzima ugaidi. Wameshimdwa na washirika wo na wamekimbia uwanja wa kiutuuzima na kuwaacha magaidi taliban wakiendelea kuitawa Afghanistan kama ilivyokuwa kabla ya uvamizi.
Uganda, Rwanda, Kenya na waaina hizo hawewezi kuwa juu ya JWTZ, hata wao wenyewe wanawashangaa BBC. Uganda wakati mwengine wanajeshi wao wanavya gumboots!!! Uganda na Kenya wanataka kuikimbia Somalia lakini hawana budi wanakufa na tai shingoni.