Tanzania ilidharaulika hata wakati wa vita vya Idd Amini walijua itapigwa, Idd Amini alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania, akisaidiwa na Libya. Kipigo alichopata kilikuwa cha mbwa koko, dunia ilibaki ikishangaa.
Kwa taarifa yako Tanzania si kama nchi zingine, haioneshi vifaa ilivyonavyo. Ni siri kubwa. Nimebahatika kukaa katika Makambi ya jeshi. Tanzania wako vizuri na kuna vifaa ambavyo uwezi amini. Ila ni siri, hatujimwambafai kama hizo nichi nyingine.
Nikupe mfano Ethiopia imepigana vita na Eritrea miaka si chini ya Ishirini. Kinchi cha Eritrea ni masikini. Lakini Ethiopia inakiogopa. Hivi wewe unanguvu za kijeshi unapigana miaka ishirini na ki nchi kidogo hivyo tena masikini.
Ok, sasa hivi jeshi la Ethiopia limeshindwa kumaliza nguvu za jeshi la Tigray, ambalo ni kabila tu. Hadi wameomba msaada toka Eritrea kuipiga Tigray kijeshi. Lakini wapi. Na Tigray hawana vifaa. Jeshi la Ethiopia halina fedha sasa walikuwa wanachangisha. Wanachukuliwa hadi vijana chini ya miaka 18, wanaenda kupigana hawana viatu, kofia yaani ukiona unacheka. Lakini utakuta Ethiopia kwa kujisifia wakati wameshindwa na kabila dogo tu la Tigray, na wanakwenda muondoa waziri Mkuu.
Eti jeshi la nchi mnashindwa kupigana hadi mnaomba jeshi la nchi jirani kuingia nchini mwenu kupigana na kabila moja. Matokeo wakawa wao ni kubaka wanawake na kuiba mali.
Leo BBC wanawapa namba tano Africa. Ha ha ha ha!
Hao BBC wanadhani jeshi la Tanzania litatoka liongee, wanatafuta kujua kitu, lkn kwa Tanzania achana nayo. Tanzania hatujawahi shindwa vita.