Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aelewe nn huyo 🤣🤣Ukisikia uimara wa jeshi unaelewa nini?
Wametaja idadi kubwa ya ndege vita na magari Vita ya Kenya na Uganda. Pia fedha ziendazo ktk jeshi.Kama vip tuombe mechi ya Kirafiki na KENYA au nasema uongo ndugu zanguni?
aaaaahhhhhaaaaahhAelewe nn huyo 🤣🤣
You have hit the nail on the head. Huwa najiuliza Sana ikatokea Hamza hamsini wameingia mtaani au kwenye soko Kama la kariakoo itakuaje?Believe me, tunajifariji tunapojisifiaga kuwa jeshi letu ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu Afrika. Jeshi letu lacks professionalism, liko kisiasa sana. Basi tu watu wengi hawajui kuhusu madudu ya hili jeshi...
Tanzania ilidharaulika hata wakati wa vita vya Idd Amini walijua itapigwa, Idd Amini alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania, akisaidiwa na Libya. Kipigo alichopata kilikuwa cha mbwa koko, dunia ilibaki ikishangaa.Usikubali kulishwa propaganda za wanasiasa na viongozi. Jeshi letu hakuna kitu pale.
😅😅😅Nakubaliana nao kwa 100% hapa kazi yao kupiga raia kwa sababu za kipumbavu utakuta mwanajeshi amedundwa na raia kwenye bar au klabu za pombe za kienyeji kwa kugombea mwanamke anakimbilia kambini halafu wanatoka zaidi ya 10 kwenda kumchangia raia sasa si upuuzi huo.
Trust me! Hakuna taifa lolote ulimwenguni linaweza kuanika silaha zake zote za kivita hadharani. Mambo mengi ya kijeshi karibia kila taifa ufanywa kuwa siriTanzania ilidharaulika hata wakati wa vita vya Idd Amini walijua itapigwa, Idd Amini alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania, akisaidiwa na Libya. Kipigo alichopata kilikuwa cha mbwa koko, dunia ilibaki ikishangaa...
DuuuhhNimekumbuka siku moja nimefungua Wikipedia nisome kidogo kuhusu US Navy baada ya kuangalia series ya "The Last Ship"
Nikaona wameanza na "the world's largest and the most capable"
Naongea nachokijua, nimeishi Ethiopia miaka, na bado nipo huku. Nafahamu siasa za Ethiopia na mauaji yanayo endelea. Jiulize ni kwanini Ethiopia ilimshindwa Eritrea? Unawajua Tigray wewe? Unajua ni kwanini Waziri ana haha kuwamaliza lakini kashindwa? Jeshi la Ethiopia halimuwezi Mtigray hata siku moja. Ndo maana linaomba msaada toka Eritrea, na majeshi ya Amhara.Trust me! Hakuna taifa lolote ulimwenguni linaweza kuanika silaha zake zote za kivita hadharani. Mambo mengi ya kijeshi karibia kila taifa ufanywa kuwa siri
La pili ni kuwa Umeongelea jambo la Ethiopia na Tigray sio? sasa jambo ambalo ni hidden ni kuwa vita hii iko kisiasa sana kama sio hivo Ethiopia kukomboa lile jimbo ni suala la sekunde tu.
Hao wasouth walioruhusu viwanja vya jeshi kutumiwa na Gupta?South Africa walitakiwa wawe number 1
Jeshi lao lipo very well organised
Umemaliza MkuuUpuuzi huu.kenya alshabab wanawachezesha kwata mpaka leo,kongo m24 wanawapigisha kwata Hadi leo.pumbavu ,kwa EAST AFRICA ,jwtz ni jeshi imara zaidi kuliko nchi yeyote!!,ili uipate jwtz ki nguvu,Basi chukua KDF plus Uganda defense force plus ,rwanda ,ndo utaipata JWTZ!!
Sema vipi ngoja niamue nikubaliane na wewe kwenye mambo kadhaa kwakua umeamua kujenga hoja zako kwa style fulani ambayo imenishangaza ni kweli unaishi Ethiopia sijakataa but never use that again when you want to defend yourself and mind you being in Ethiopia does not prove that what you are saying here is trueNaongea nachokijua, nimeishi Ethiopia miaka, na bado nipo huku. Nafahamu siasa za Ethiopia na mauaji yanayo endelea. Jiulize ni kwanini Ethiopia ilimshindwa Eritrea? Unawajua Tigray wewe? Unajua ni kwanini Waziri ana haha kuwamaliza lakini kashindwa? Jeshi la Ethiopia halimuwezi Mtigray hata siku moja. Ndo maana linaomba msaada toka Eritrea, na majeshi ya Amhara.
Wewe inaonesha hujui vizuri Ethiopia na historia ya wa Tigray.
Nchi kadhaa uonesha silaha zake kutaka ufahari si kwamba wanaficha. Marekani uonesha, Korea, China, na zinginezo. Hata hapa majuzi Ethiopia kaonesha siraha zake kuwatisha Tigray, lakini anapokea kichapo haswa. Tigray wameingia hadi Amhara, wamefunga njia ya barabara na reli ya Djibout na Ethiopia. Na sasa wapo Gondar ambao ni mji mkubwa.
Usiongee story tu, hujui mengi ya Ethiopia.
Kula tanoTanzania ilidharaulika hata wakati wa vita vya Idd Amini walijua itapigwa, Idd Amini alikuwa na vifaa zaidi ya Tanzania, akisaidiwa na Libya. Kipigo alichopata kilikuwa cha mbwa koko, dunia ilibaki ikishangaa.
Kwa taarifa yako Tanzania si kama nchi zingine, haioneshi vifaa ilivyonavyo. Ni siri kubwa. Nimebahatika kukaa katika Makambi ya jeshi. Tanzania wako vizuri na kuna vifaa ambavyo uwezi amini. Ila ni siri, hatujimwambafai kama hizo nichi nyingine.
Nikupe mfano Ethiopia imepigana vita na Eritrea miaka si chini ya Ishirini. Kinchi cha Eritrea ni masikini. Lakini Ethiopia inakiogopa. Hivi wewe unanguvu za kijeshi unapigana miaka ishirini na ki nchi kidogo hivyo tena masikini.
Ok, sasa hivi jeshi la Ethiopia limeshindwa kumaliza nguvu za jeshi la Tigray, ambalo ni kabila tu. Hadi wameomba msaada toka Eritrea kuipiga Tigray kijeshi. Lakini wapi. Na Tigray hawana vifaa. Jeshi la Ethiopia halina fedha sasa walikuwa wanachangisha. Wanachukuliwa hadi vijana chini ya miaka 18, wanaenda kupigana hawana viatu, kofia yaani ukiona unacheka. Lakini utakuta Ethiopia kwa kujisifia wakati wameshindwa na kabila dogo tu la Tigray, na wanakwenda muondoa waziri Mkuu.
Eti jeshi la nchi mnashindwa kupigana hadi mnaomba jeshi la nchi jirani kuingia nchini mwenu kupigana na kabila moja. Matokeo wakawa wao ni kubaka wanawake na kuiba mali.
Leo BBC wanawapa namba tano Africa. Ha ha ha ha!
Hao BBC wanadhani jeshi la Tanzania litatoka liongee, wanatafuta kujua kitu, lkn kwa Tanzania achana nayo. Tanzania hatujawahi shindwa vita.